Mimi sina funding tu...ila mi mwenyewe fid angekuwa mwanafunzi wangu
ITs dark & hell is hot; Nakusalimu kwa jina la DMX,Big daddy Kane,Twista,Pharoahe Monch,Q-tip,Method Man,everlast,slick ricks,Mya-9.....Mkuu hebu tumwagie strength & weakness za msanii wetu FID Q hip hop/rap..Mimi sina funding tu...ila mi mwenyewe fid angekuwa mwanafunzi wangu
Strength & weakness ni nyng namm ni mvivu wa kuandika magazeti.ITs dark & hell is hot; Nakusalimu kwa jina la DMX,Big daddy Kane,Twista,Pharoahe Monch,Q-tip,Method Man,everlast,slick ricks,Mya-9.....Mkuu hebu tumwagie strength & weakness za msanii wetu FID Q hip hop/rap..
Nenda kwa Biden jifanye shoga watakusponsor..Mimi sina funding tu...ila mi mwenyewe fid angekuwa mwanafunzi wangu
Mara nyingi wanaoanzisha mada za ushoga kila sehemu either huwa ni mashoga au mashoga watarajiwa.Nenda kwa Biden jifanye shoga watakusponsor..
Young kunya mtoe hapoNiki mbishi
Yanglunya
Msodoki
Blue baisa
Eminem is the GOAT, and your opinion doesn't matter!Mkuu mbona mimi ni fid q fan...ila nakubali hayuko perfect 100% although bado yupo in my top 3 apa bongo.
And yes Eminem is still overrated..I said it.
Hao uliowataja ndo hamna kitu, labda ungesema Nikki Mbishi.Fid kurap hapana ila hip hop penyewe
Best hip hop fid best rapper hapana kabisa anazidiwa mpaka na stamina
Kina joh makin nk
Mpuuzi tuuuu, Mla unga tuuuuMbona ashatokea na anaitwa Nikki Mbishi?
Eminem is not the GOAT....that would be Andre 3 stacksEminem is the GOAT, and your opinion doesn't matter!
Kwa hapa bongo pia, Fid q is the GOAT.
NB: Kuna tofauti kati ya GOAT na King.
FID anajua sana, ukisikiliza ile ngoma yake ya propaganda ndio utatambua jamaa ni mkali sana kwenye hiphop.
Nik ni hiphop urapa hana makaliHao uliowataja ndo hamna kitu, labda ungesema Nikki Mbishi.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]The Rap genius
Whats a story teller
Namfatilia sana sijawahi skip ngoma yake
My fav album ya hiphop bongo ni “THE VERTELLER” [emoji1241]