Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

Kwenye mada kama hizi ndo naelewa kweli mimi siujui mziki,

Kuna wasanii nawaona Kama so special wangepaswa ndo wawe kweny Top of the list, lakin ndo ata kutajwa hawatajwi, nisio wafikiria ndo wanao onwa ni bora,
Imagine anatajwa niki mbishi kabla ya Ngwea, Chidbenz, Langa, how!!!

Okey, Top five ya wasanii wangu bora wa mda wote Tz
Prof jay
Ngweir
Fid q
Juma nature
Chidbenz
 
Ni mtazamo tu ila wanaosema ProffesorJay nawashangaa kidogo.....
Yangu ipo hivi ( haijapangiliwa)
Nikki
F.A
Stereo
Afande
Mawenge
 
Tunapokuwa masikani masela hatuna kituuu!!!!! Sisi!
Rafiki zetu wanadhani msela nina kitu! Sisi!
Na matokeo yake vurugu kila siku! Sisi!
Sababu yote msela mfukoni sina kitu! Sisi!
Tunapokuwaaaa! Sisi!
Hatuna kituuuu! Sisi!
Mtueleweee! Sisi!
Hatuna kitu!! Sisi!

Yeah!
Juma Nature...Sir Nature a.k.a Msitu wa vina!

Na makamuzi yoooote yaleyale ni lazima muyaelewe babake!

Mapanga sha!
sha! sha! sha!
Kuku kuku jogoo jina!
 
Nashukuru kwa tag

Binafsi nilikuwa inspired sana na Fid Q na niweke wazi kuwa ni msanii ambaye nimemsikiliza sana ( sina maana nimesikiliza ngoma zake zote)

Kwangu mimi Fid Q sioni kama itakuwa ni heshima kumuita Rapa, huyu kwangu ni MC bora ila kwasasa namuona kama legendary zaidi.

Namuona legendary kwasababu katika current industry siyaoni yale makali yake ambayo yalikuwa yananikosha kipindi kile

Hata humu katika comments za wadau wengi wamekuwa wakitoa references za nyimbo zake za zamani kama ni nyimbo kali zilizofanya wamkubali Ngosha.

Ngoma yake ya mwisho kuikubali ya miaka ya hivi karibuni ni Sumu (hii ni personal perspective na sio universal perspective)

Alichokuwa anakifanya miaka ile na nikakipenda, kimekuwa kikifanywa na ma underground chipukizi kama Dizasta Vina, Nala Mzalendo, Mawenge, nk

So kwangu mimi Fid Q ni legendary anayeishi ila katika current industry kuna wadogo zake ambao aliwa inspire na sasa wanapita zile njia zilizofanya nimkubali.
 
Yeah!
Fid ni legendary na wasanii wa hip hop ndivyo wanavyomheshimu. Kwenye remix ya Uno "incredible" Stereo naye ndivyo alivyo mtaja!

"legend ka Farid nazidi kutema knowledge"

Marehemu Godzilla kwenye Cheusi Dawa ya Fid kwenye free style yake alitoa hilohilo kuwa brother Ngosha ni legend!!!
 
Juma nature? Hip hop?

Ni kweli mkuu, haujui muziki.
 
The real fidQ, huyu jamaa anajua nafikili akichimba atamuachia Dizasta vina kuwa king wa Bongo hip hop hawa marapa wengine wameshindwa kufikia ata nusu ya hawa jamaa
 
Young killer nae ni noma sana, kaua ile mbaya kwenye albamu yake.
 
Fid Q
Chid benz
Ngwair
Nick mbishi
Professa J
Dizasta vina
nash mc mwenye VVU
One
Stereo
Afande sele
FA
Killer msodoki
Stamina
Lord eyes
Bonta maarifa
Conboi cannabino
Malume
ndo watu naowaelewa zaidi
 

Tupe msanii maandishi hayaangukii hapo
 
Fid kurap hapana ila hip hop penyewe
Best hip hop fid best rapper hapana kabisa anazidiwa mpaka na stamina
Kina joh makin nk

Duh mpka stamina mzee wewe mziki unaujua sana.
 
Salute
 
Killer kaua sana kwenye Albamu yake. Hatari sana yule dogo.
Fid Q
Chid benz
Ngwair
Nick mbishi
Professa J
Dizasta vina
nash mc mwenye VVU
One
Stereo
Afande sele
FA
Killer msodoki
Stamina
Lord eyes
Bonta maarifa
Conboi cannabino
Malume
ndo watu naowaelewa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…