Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 15,892 Reaction score 16,476 Oct 11, 2022 #61 City owl said: Mbona ashatokea na anaitwa Nikki Mbishi? Click to expand... Unju bin Unuq. Nikki anajua sana mwana yule
City owl said: Mbona ashatokea na anaitwa Nikki Mbishi? Click to expand... Unju bin Unuq. Nikki anajua sana mwana yule
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Oct 11, 2022 #62 Mwamaleki said: Hata wewe ukienda wa putin ukajifanya shoger watakuoa Click to expand... Wapi nimesema kwamba mimi ninahitaji kwenda kwa Putin na kwa nini niende ? anyway majibu ni kwamba akili zako sawasawa na avatar uliyoweka .
Mwamaleki said: Hata wewe ukienda wa putin ukajifanya shoger watakuoa Click to expand... Wapi nimesema kwamba mimi ninahitaji kwenda kwa Putin na kwa nini niende ? anyway majibu ni kwamba akili zako sawasawa na avatar uliyoweka .
Soga za mzawa Senior Member Joined Oct 27, 2017 Posts 159 Reaction score 186 Oct 12, 2022 #63 Kuna tofauti kubwa kati ya RAPPER na MC tusichanganye sana madesa juu ya huu uhalisia! Sent from my Nokia 1.3 using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti kubwa kati ya RAPPER na MC tusichanganye sana madesa juu ya huu uhalisia! Sent from my Nokia 1.3 using JamiiForums mobile app
Number ni 26 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2019 Posts 1,573 Reaction score 3,088 Oct 12, 2022 #64 Mkifika kwa mwanangu NYANDU TOZZY mtanistua basi!
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 Oct 13, 2022 #65 Zote ni kali spidernyoka said: Ivi inaitwaje au tupe list ya must listen ya hio album Click to expand...
Zote ni kali spidernyoka said: Ivi inaitwaje au tupe list ya must listen ya hio album Click to expand...
Zombie S2KIZZY JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 826 Reaction score 1,622 Jan 23, 2023 #66 Cymon Taylor said: Mkifika kwa mwanangu NYANDU TOZZY mtanistua basi! Click to expand... Nyandu ni namba nyingine babu
Cymon Taylor said: Mkifika kwa mwanangu NYANDU TOZZY mtanistua basi! Click to expand... Nyandu ni namba nyingine babu