Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,004
- 31,808
Mkuu umeandika nini hikiHaya sasa wale nyumbu waliokuwa hawanielewi leo hukumu kuhusu sakata la Escrow limethibitishi nilikuwa sahihi ingawa madudu ya aina hiyo hata awamu yanaendelea.
Kwa ujinga wao wanadhani kama awamu hii inavurunda basi nilikosea kusema nitasgangilia JK kuondoka madarakani wanasahau kuwa wao ndio vinara wa kusema awamu hii ni bora kuliko iliyopita.
Endeleeni kuwa wajinga na kudhani hizi hasara zitabebwa na wapinzani.
Naomba kueleweshwa