Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Wote ni wale wale.Huyo JK ndie alieweka msingi wa baadhi ya mambo tunayoyaona leo hii.

Ni katika utawala wa JK tumeona watu wakitekwa kama kina Dr.Ulimboka.

Ni katika utawala wa JK ndio imetungwa sheria ya mitandao.

Huyu JPM ana-take advantage ya mazingira yaliyoachwa na JK.
Hee kumbe mm siku zote huwa namsifu JK kwa kuiendesha nchi kidemokrasia kumbe na yeye alikuwa mbaya
 
Back
Top Bottom