Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,004
- 31,808
Mkuu umeandika nini hikiHaya sasa wale nyumbu waliokuwa hawanielewi leo hukumu kuhusu sakata la Escrow limethibitishi nilikuwa sahihi ingawa madudu ya aina hiyo hata awamu yanaendelea.
Kwa ujinga wao wanadhani kama awamu hii inavurunda basi nilikosea kusema nitasgangilia JK kuondoka madarakani wanasahau kuwa wao ndio vinara wa kusema awamu hii ni bora kuliko iliyopita.
Endeleeni kuwa wajinga na kudhani hizi hasara zitabebwa na wapinzani.
Nyumbu wa Lumumba wanaelewa.Mkuu umeandika nini hiki
Naomba kueleweshwa
Mkuu na kuheshimu ila unaonekana unataka kusema vitu ambavyo sivijui nahitaji kueleweshwa na kunielewesha Mimi sio tatizo tatizo ni pale unapo anza matusi kuita nyumbu wa LumumbaNyumbu wa Lumumba wanaelewa.
Kinyesi tu hikiHaya sasa wale nyumbu waliokuwa hawanielewi leo hukumu kuhusu sakata la Escrow limethibitishi nilikuwa sahihi ingawa madudu ya aina hiyo hata awamu yanaendelea.
Kwa ujinga wao wanadhani kama awamu hii inavurunda basi nilikosea kusema nitasgangilia JK kuondoka madarakani wanasahau kuwa wao ndio vinara wa kusema awamu hii ni bora kuliko iliyopita.
Endeleeni kuwa wajinga na kudhani hizi hasara zitabebwa na wapinzani.
Mzigo wa Escrow umetema Mahakami so tunatakiwa kulipa fidia ya Mabilioni kama sio MatrilioniMkuu umeandika nini hiki
Naomba kueleweshwa
Kwani wewe ni Nyumbu wa Lumumba?Mkuu na kuheshimu ila unaonekana unataka kusema vitu ambavyo sivijui nahitaji kueleweshwa na kunielewesha Mimi sio tatizo tatizo ni pale unapo anza matusi kuita nyumbu wa Lumumba
Sawa mkuu ila mwandishi alivyo andika mmmhMzigo wa Escrow umetema Mahakami so tunatakiwa kulipa fidia ya Mabilioni kama sio Matrilioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi nimeshangaa alivyo andika nyumbu
Haya sasa tujiandae kulipa mabilioni ya Esrow.We jamaa unafiki umekuzidi.JK humtaki.Magufuli humtaki..unamtaka nani.Mbowe?
Na mabilioni yaliyonunua Chadema vipi!?Haya sasa tujiandae kulipa mabilioni ya Esrow.
Amebadili Gia angani kama kawaida yao mkuu!Duh hua najua,
-nyumbu =chadema
-fisiemu =ccm
lini mmebadilishana majina?