Uliona mbaliTangu nchi hii ipate uhuru, hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.
Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi; ni katika awamu hii kashfa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa; pia ni katika awamu hii, operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka; ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi; ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia, ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.
Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu. Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.
Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.
Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.
Pia, ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.
Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!
Kwasababu hizo, bila kujali nani atamrithi JK, nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.
Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja, kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
😆😆😆😆Uliona mbali
Kuna watu walinibeza sana, ila nashukuru muda umeongea.Uliona mbali sana
Tena huyu kumbe ndiye anaharibu hii nchi ,Kuna watu walinibeza sana, ila nashukuru muda umeongea.
Hafai kabisa.Tena huyu kumbe ndiye anaharibu hii nchi ,
Ee Mungu aingilie kati
Sawa, ila angekuwa bado ni Rais hali ingekwaje?Pole mkuu bahati mbaya yako hadi sasa Mwamba yuko madarakani kama Rais kivuli.
Sasa Rais kivuli unaonaje nchi inavyokwenda hadi akina Pole Pole wamejitokeza kumpinga ni kama wakati ule akina Slaa walipoibuka na list of shame copy & paste.Sawa, ila angekuwa bado ni Rais hali ingekwaje?
Natamani mafisadi wote mali zao zitaifishweMimi nitaridhika tu pale yeye na familia yake watakapofilisiwa mali zao zote walizojipatia kwa kutumia madaraka ya urais.
Kamanda, bado unaendelea kuadhimisha? Maana tumetoka kuwa TV, na hata sasa tumepiga U-turn 🧲 na kuwa remote control.Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.
Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi; ni katika awamu hii kashfa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa; pia ni katika awamu hii, operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka; ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi; ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia, ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.
Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu. Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.
Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.
Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.
Pia, ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.
Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!
Kwasababu hizo, bila kujali nani atamrithi JK, nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.
Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja, kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
Uwe na Safari njemahahahahaaha JK ni mwamba sana.
JK sasa ana zaidi ya miaka 75 nafikiri, bado tunamlalamikia tu na hatuna cha kumfanya.
Yaani Taifa la zaidi ya watu milioni 60 tunapambana na JK tukiwa JF, Kweli Sisi maboya sana.
safarini Khartoum Sudani.
Uwe na Safari njema
Kila la heriMkuu nilishafika Khartoum nipo napambana.
Kahawa yakinubi na hashishi kidogo, usiku nakula watoto wa kinubi huku nikisindikizwa na milio ya AK47 kwa mbali.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani
Muda ni mwalimu mzuri sana. Leo bado Taifa linalia kwasababu ya huyu mtu anaetuhumuuwa kuendesha nchi kwa mlango wa nyuma baada ya kifo cha JPM.Kuna watu sijui wanawaza ugali mda wote, ukiangalia mtu alichoandika moja kwa moja unajua kabisa kuwa huyu anawaza ugali tu.