Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Atawezaje kujitokeza?haha amegoma kujitokeza
Atawezaje kujitokeza?haha amegoma kujitokeza
Dooh maisha yanakwenda kasi sana na hatimae leo Kikwete kawa mtu unaye mmisi Sana.Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.
Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi; ni katika awamu hii kashfa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa; pia ni katika awamu hii, operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka; ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi; ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia, ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.
Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu. Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.
Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.
Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.
Pia, ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.
Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!!
Kwasababu hizo, bila kujali nani atamrithi JK, nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.
Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja, kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
Kumfia ndio kufanyaje??Hatujawahi kupata rais wa hovyo kama Kikwete ndani ya nchi hii. Jamaa alikuwa useless sana mpaka nchi ikawa inamfia mikononi mwake.
Muulize Kikwete atakuambia ama wapinzani wa kipindi kileKumfia ndio kufanyaje??
Hawa ndio wanaotaka maoni yao kusikilizwaDooh maisha yanakwenda kasi sana na hatimae leo Kikwete kawa mtu unaye mmisi Sana.
Matukio yoote ya ufisadi ulio utaja hapo juu leo wanashughulikiwa bila kuwahurumia eti umegeuka kuwa mtetezi wao huku ukimuona mbaya huyu anaye chukua hatua!! Huu ni unafiki wa kiwango cha juu Sana.
Sawa, ngoja tutampata Kikwete mwingine 2025 aturudishe tuliko toka mkuu.
Huwezi amini Hawa ndio viongozi wa chademaBinadamu huwa tunashau haraka sana...
Bavicha hawawezi kuweka akibaDah amakweli tuweke akiba ya maneno.
Na vipi serikali hii.?Vijana wanaoiunga mkono serikali ya JK na CCM wamegawanyika makundi mawili.
1) Hawa ni wale ambao wana wazazi, ndugu, jamaa, marafiki au wao wenyewe wameweza kunufaika na wizi unaofanywa na CCM au kupewa "privelege" na serikali.
2) Hawa ni wale wenye mategemeo kwamba kwenye siku za mbeleni wanaweza na wao wakaja kunufaika endapo CCM itaendelea kuwa madarakani.
Tupe mrejeshoNaunga mkono hoja
Sasa hivi amemmissIjia mbuzi wa kuchinja kwenye kumbukizi..
Kikwete kumbe ni dikteta1. Siku hiyo itaitwa kumbukumbu ya dikteta muuaji na mcheshi kuliko wote.
2. AU siku serikali ya majambazi ilipoondoka!
3. AU maadhimisho ya miaka kumi ya mateso chini ya Serikali ya wezi
4. AU siku mtandao wa wezi ulipoachia madaraka!!
WoyoooMleta mada siku hiyo tutaftane humu JF tukale bata. Huyu jamaa aktoka madarakan lazima nshanglie hata asiposhinda ntakayempgia kura....kwa kutoka kwake madarakan ntahisi BOOOOOOOOOONGE LA USHINDI.
We hata Kama SIKUJUI lazima nije kukuposaNinaahidi mbele ya mashahidi wa JF kwamba katika maadhimisho yako ya kwanza ( bila shaka itakuwa november hii ) nitakuchangia pesa taslimu 200000 ( laki mbili ) ili kujazia patakapopungua , wakati ukifika njoo PM .
Wabongo wanafkiIjia mbuzi wa kuchinja kwenye kumbukizi..