Sasa hivi anasema Bora jk. Wakati kwenye hii post take alisema aje yoyote bila kujali atakuwajeSalary Slip kijana unaesheherekea mwanzo wa mwaka au mwezi gani ,mi nakulipia ukumbi
Hata anakumbuka kwanza alichokiandika?Alichokiandika hata sidhani kama anakielewa !!
Atangulize barua halafu yeye aende siku tatu baada ya barua kupokelewaMleta maada unapaswa kwenda Msoga kuomba radhi
Hawa watu ni wajinga sanaHata anakumbuka kwanza alichokiandika?
Hawanaga aibu haoNadhani atalikana andiko lake,ikiwekwa tuzo la ufisadi kombe haliendi kwa jk
Sasa hivi? Nyie watu ni wanafki sanaMimi nitaridhika tu pale yeye na familia yake watakapofilisiwa mali zao zote walizojipatia kwa kutumia madaraka ya urais.
Leo wewe ndio ujibu hoja sio viojaJibu hoja acha vioja!
Usawa huu sasa hivi laki 5 kutoa kwa jambo lisilo na kichwa wala miguu ni ngumu, kipindi hiko mzunguko wa pesa mzuri, na hakukuwa na makodi mengiHalafu kwa Utukufu wa Mungu nilichabgia laki 5 badala ya laki 2 nilizoahidi
Kipindi gani hicho? Maana kwenye huu uzi watu walitaka atoke harkaa Sana.Usawa huu sasa hivi laki 5 kutoa kwa jambo lisilo na kichwa wala miguu ni ngumu, kipindi hiko mzunguko wa pesa mzuri, na hakukuwa na makodi mengi
Hatujawahi kupata rais wa hovyo kama Kikwete ndani ya nchi hii. Jamaa alikuwa useless sana mpaka nchi ikawa inamfia mikononi mwake.Kupewa hayo majina ya kejeli na bado akaweza kuhimili huo ndio ustaarabu. Ndio maana watu wana mmiss Kwasababu Kikwete alikuwa haumizwi na vitu vidogo vidogo.
Juzi nimemsikiliza anasema hajui yata kupika, nadhani ndio sababu.
Magu yeye nadhani mpaka nyama kwenye chungu na njiti za viberiti anahesabu.
Salary Slip unaitwa huku!