Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Mzee baba awamu ya 5 ndo imevunja rekodi zote za tanzania
 
Usitukane mamba kabla hujavuka mto..! Endelea kusherehekea sasa
 
Ha hahahaha

Tunaadhimisha Miaka miwili Na Miezi nane tangu aondoke Jakaya
Sambamba Na Hilo Pia

Tunaadhimisha Miaka miwili Na Miezi minane tangu Makamanda waanze kuufyata

Tunaadhimisha Muda huo huo tangu Mawazo ya kuchochea Maandamano yaondoke
 
Wa afiki ktk ubara wao hahaha
 
Baada ya jiwe kuondoka Nahisi mleta atafanya sherehe kama za mswati kabsa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Subalaheri mtoa mada vipi hali yako awamu hii?
 

Hahahaaaaa nyumbu katika ubora wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…