Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Faiza sometimes ana matatizo, hilo jina 'gozi' kwa wanaume linamaanisha mwanaume mwenye gozi ni yule ambaye hajatahiriwa. Faiza chunga namna unavyotumia baadhi ya maneno.
Vv
da...nilikuwa na matumaini jamaa watafufuka na kurudi mchezoni lakini wapi bana...hadi zilipo baki dk 5 ndo nikajua kumbe kweli....
Ohh, siyo mshabiki sana lakini napenda kama ilivyo kwa Watanzania wengi tu.
Scolari mbinu zake ni outdated
Brazil wana pool kubwa na talented individuals wengi sana
lakini mpira unabadilika daily
Siku ile ni kama walicheza mpira wa kizamani...
kwenye mpira kuna 'artists' na 'soldiers'
lazima uwe nao both ili uweze kushinda
siku ile ilikuwa team yenye very good soldiers(germany)
againsts timu yenye 'all artists' ambao wali lack a lot of artistry pia
Hivi kweli kuna mtu ambaye haipendi brazil katika ushabiki wa soka??huyo atakuwa na matatizo...ni sawa na mtu aseme haipendi real madrid,yaan unaanzaje kusema hupendi timu zenye mafanikio katika soka?utakuwa una matatizo ya msingi sana hakyanan,maana ukitaka mafanikio lazima umpende nakutamani aliyekuzidi na siyo kuwa na roho mbaya
mi hata sasa hiyo video tu sitaki kuiangalia, nitajitonesha bure!!
Hahahahaa best umetisha kila sehemu njano na kijani!
Pole sana.