Siku ambayo wapenzi wa soka hawataki kuikumbuka

Siku ambayo wapenzi wa soka hawataki kuikumbuka

Huyo Faiza sometimes ana matatizo, hilo jina 'gozi' kwa wanaume linamaanisha mwanaume mwenye gozi ni yule ambaye hajatahiriwa. Faiza chunga namna unavyotumia baadhi ya maneno.

Vv

Usiwe na wasi wasi, hilo neno nilishaelezea sana humuhumu Jf, na nikilitamka ina "sound" gowzi, means "my pair".
 
Mie nilijua watafungwa ila si kiasi hiki. Huyu Beck akikosekana, ni shida.

Kukosekana kwa Neymar na Thiago Silver, kuliwapa sana nafasi German kucheza wanavyotaka.


315859_heroa.jpg



Scolari mbinu zake ni outdated
Brazil wana pool kubwa na talented individuals wengi sana
lakini mpira unabadilika daily
Siku ile ni kama walicheza mpira wa kizamani...

kwenye mpira kuna 'artists' na 'soldiers'
lazima uwe nao both ili uweze kushinda
siku ile ilikuwa team yenye very good soldiers(germany)
againsts timu yenye 'all artists' ambao wali lack a lot of artistry pia
 
Best game ever , hiyo mechi nimeidownload iko full hd , nimeitunza kama nn yan . Huwa Nikikaa nikaboreka naiweka af commentator anafurahisha Sana maneno yake " Brazil have a mountain to climb in their own backyard "
The look lost the Brazilian.
Look at Brazil players , they have been humiliated and i don't think if there is anyone who wants the ball . ,
" it's close , closer scores , he is on top of the word "
 
Kama kuna mechi iliniuma ni hii chini.... Brazil vs France.

Brazil walikuwa na timu nzuri sana na karibu wale wale walikuja wakashinda kwa kuifunga German mwaka 2002.



Kuna maneno mengi yalisema kuwa NIKE aliuza Mechi kwa kuwalazimisha Brazil wamchezeshe Ronaldho aliyekuwa hajiwezi siku hizo na ikasababisha ugomvi ndani ya timu ya Brazil.

Mwaka jana, wengi naona wamesahau. Brazil alibebwa sana hadi kufika nusu Final.

Brazil ya mwaka jana kwa ujumla ilikuwa Mbovu tangia wanaanza. Chile walitakiwa kuwafunga hawa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli kuna mtu ambaye haipendi brazil katika ushabiki wa soka??huyo atakuwa na matatizo...ni sawa na mtu aseme haipendi real madrid,yaan unaanzaje kusema hupendi timu zenye mafanikio katika soka?utakuwa una matatizo ya msingi sana hakyanan,maana ukitaka mafanikio lazima umpende nakutamani aliyekuzidi na siyo kuwa na roho mbaya
 
Na hii habari makanjanja wataichukuwa wakaiweke kwenye magazeti yao bila courtesy ya JF wala FaizaFoxy wa JF.

cc barafu
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli kuna mtu ambaye haipendi brazil katika ushabiki wa soka??huyo atakuwa na matatizo...ni sawa na mtu aseme haipendi real madrid,yaan unaanzaje kusema hupendi timu zenye mafanikio katika soka?utakuwa una matatizo ya msingi sana hakyanan,maana ukitaka mafanikio lazima umpende nakutamani aliyekuzidi na siyo kuwa na roho mbaya

Kuna kupenda na kuna ushabiki, sema kila mtu siku hiyo alishangaa sana, kuna mtu juu huko ka "comment" hata Ujerumani walishangaa, hawakuamini kama ni kweli au wanaota.
 
Wengine walipandisha mizuka ya kikwao:

 
Huyu alikuwa anaomba muujiza utokee "scoreboard" ibadilike:

 
Back
Top Bottom