Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Pale ofisini kuna dada mmoja mashallah huwa analeta chakula. Kaumbika sana yule, chakula anachokuletea hata akizidisha pilipili kama yupo mbele yako huwezi pata ujasiri au nguvu ya kumkosoa; utakiona sawa tu.

Nilichukua namba yake tuwe tunawasiliana nimwagize chakula ntakacho. Mtoto wa kizigua yule mashallah, ajua kupika.

Mwezi mmoja uliopita tulikuwa tumeanzisha utaratibu wa kufanyia kazi home kutokana na Corona.

Alinimiss akaona anitumie text kuwa amenimiss kesho anaomba anipikie chakula maalum. Text yake imeingia simu ipo mkononi mwa wife anaangalia some videos za whatsapp akaisoma ile text.

Alikuja tu kuuliza Salma ni nani? Mimi sikuwa najua Salma gani. Kabla sijajibu alinipiga na frying pan kichwani. Kwa sekunde kadhaa network ilikata nikawa nasikia milio ya nyuki, haraka ananivamia na kuanza kunishambulia kwa magumi na mateke. Wakati huo najiweka sawa alinipiga na remote jichoni.

Mchana kabisa nikaona giza halafu nyota nyota. Nilienda kwenye kochi nikainama nimepiga magoti huku nimeweka mikono machoni. Hapo kidogo akashtuka na kuacha kunipiga.

Nilitulia kwa dakika kadhaa maana nilianza pata waswasi kuwa pengine jicho limepasuka. Kumbe wakati huo akifanya hayo alikuwa amepiga simu kwa Salma bila yeye kujua(ali press call)

Basi baada ya kama dk 10 jicho likawa ok ila siwezi kuona kwenye mwanga linauma sana. Nikaenda chumbani sikusema kitu kwanza, nilikuwa natafakari hayo yoooote. Nikawa pengine nimekuwa weak sana. Ukikaa na mke miaka mingi hujampiga anaanza kuona wewe si mwanaume halisi.

After two days nlienda town, nikaonana na Salma. Kumbe alisikia baadhi ya maneno na sauti za kipigo kwangu. Siku hiyo aliomba kesho yake niende kwake tukaongee na kweli nilienda....

Baada ya stories kadhaa aliniomba tutoke nimsindikize hapo karibu dispensary. Maskini alinipeleka tukapime HIV kisha tukarudi home kwake. She gave herself to me kama pole kwa matatizo aliyonisababishia. Dispensary alinichukulia na dawa ya macho, tukarudi akaniosha na kuniweka dawa then later on tuka make love so passionately.

Mpaka leo wife hakuniomba msamaha na hakuwa ametaka kujua huyo Salma ilikuaje akaandika vile; alinihukumu bila kunisikiliza. Jumanne alijaribu tena kunikoromea tena kibabe mbele ya housegal. Safari hii nilimtandika kibao akaanguka na kutulia kama dk 5 kisha akaamka na kuanza kulia baada ya dk zaidi ya 6 kupita.

Naona imesaidia akili yake sasa imekaa sawa na heshima imerudi. Wanawake, ya nini kupigana?
 
Sikuwa quarantine.... But pia salma hakuwa anajua kuwa nafanyia kazi home. I didnt te her coz haikuwa na haja.

Hata angekusikiliza asingekuelewa'
Akupikie then ukalie wapi wakati mlikua quarantine
 
Back
Top Bottom