Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

"Alikuja tu kuuliza Salma ni nani?mi sikuwa najua Salma gani...kabla sijajibu alinipiga na frying pan kichwan.kwa sekunde kadhaa network ilikata nikawa nasikia milio ya nyuki.haraka ananivamia na kuanza kunishambulia kwa magumi na mateke.wakati huo najiweka sawa alinipiga na remote jichoni."

[emoji23][emoji23] mkuu pole sana

Ila hii sio chai kweli?
 
Niliona shost zangu wanapiga wao na kuwalazimisha wafanye kazi za nyumbani. Nikasema nisiwe mzembe ngoja na mie nijaribu.
Hao wameoa, wewe umeolewa hio ndio tofauti yenu.

Mwanamke mpaka anipige makofi labda niwe hoi mahututi. Kwangu mwanamke ni mwanamke tu hata awe nani katika nchii hii atakula kipigo cha mbwa koko na mashine juu ntamchapa nayo halafu freshi tu! 🤣🤣🤣

Hio inaitwa "Putting a lady in her place!"
 
Ila wakifumaniwa wanakosa nguvu. Ngoja nijaribu siku nikifumania mambo ya ajabu ajabu. Nitafidia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujawahi ona wanakosea wao na ukileta kidomo domo unakula mbata wewe? Hata akikosea usikurupuke, mlie timing.
 
Hao wameoa, wewe umeolewa hio ndio tofauti yenu.

Mwanamke mpaka anipige makofi labda niwe hoi mahututi. Kwangu mwanamke ni mwanamke tu hata awe nani katika nchii hii atakula kipigo cha mbwa koko na mashine juu ntamchapa nayo halafu freshi tu! 🤣🤣🤣

Hio inaitwa "Putting a lady in her place!"
Kuna wanawake wana maujuzi kiasi kwamba akiinua mkono unaogopa ukimrudishia atakuacha.😀 Sio kwamba huwezi kumdunda. Bora ukaushe uendelee kuneema na kile alichojaaliwa.😀😀
 
Back
Top Bottom