Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi...

Kuna wanawake wana maujuzi kiasi kwamba akiinua mkono unaogopa ukimrudishia atakuacha.😀 Sio kwamba huwezi kumdunda. Bora ukaushe uendelee kuneema na kile alichojaaliwa.😀😀
Kwa situation kama hio unanywea cause you know you have fucked up. Na kulikoni kuanza kuulizwa maswali mengi bora ugongwe frampeni kesi iishe. Kuliko ugomvi wa kununiwa mwezi mzima maana hutakuwa na majibu yalionyooka 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 01.jpg
    01.jpg
    14.1 KB · Views: 2
Kwa situation kama hio unanywea cause you know you have fucked up. Na kulikoni kuanza kuulizwa maswali mengi bora ugongwe frampeni kesi iishe. Kuliko ugomvi wa kununiwa mwezi mzima maana hutakuwa na majibu yalionyooka 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwezi mzima kugeuziwa mgongo sio poa. Mbaya zaidi maisha ya ndoa anabadili na kuvua hapo unamuona unabaki kuugulia na hamu zako🤣🤣
 
Kitendo cha kupigwa siku ya 1 na ukatulia kile kitakutesa kwenye maisha yako kwa muda mref Amin kwamba ulionyesha udhaifu sana na atakutandika tena siku nyingine, ulitakiwa umuonye siku ileile
 
"Alikuja tu kuuliza Salma ni nani?mi sikuwa najua Salma gani...kabla sijajibu alinipiga na frying pan kichwan.kwa sekunde kadhaa network ilikata nikawa nasikia milio ya nyuki.haraka ananivamia na kuanza kunishambulia kwa magumi na mateke.wakati huo najiweka sawa alinipiga na remote jichoni."

[emoji23][emoji23] mkuu pole sana

Ila hii sio chai kweli?
Hii ni chai ya kitanga mkuu iliki,karafuu na viungo mingi mingi imehusika
 
Yaani heading tu nikaanza kucheka, kuja kusoma ndani nimecheka hadi nahisi mbavu zitaachia, bado nacheka na nitaendelea kucheka, acha ni screenshot maana sio kwa kipigo hicho,

Next time utachomwa moto hizo ndude shauri zako.
 
"Uppercut" sio mchezo, kuna kipindi nilijaribu kupambana na vibaka nikapigwa "uppercut" mbili za fasta, mpaka leo nahisi sijapona, japo ni kitambo kidogo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
So mchezo. Sasa fikiria mtu anampiga "mke wake" "my wake" Baby wake" "sweetheart wake" kitu kama hicho.
Kuna wanaume hawapo romantic kabisa.
 
Back
Top Bottom