del moe
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 827
- 1,026
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! We ni noma. Unaijua hadi "uppercut"Wadada mnawapata wapi hawa wanaume mnaowapiga? Mwenzenu Siku nilijaribu nikaambulia "uppercut".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatuwakilisha vyema kabisa.
Unanikumbusha kuchapwa fimbo assemble ground et kisa nna uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi mwenzangu,Pale ofisini kuna dada mmoja mashallah huwa analeta chakula. Kaumbika sana yule, chakula anachokuletea hata akizidisha pilipili kama yupo mbele yako huwezi pata ujasiri au nguvu ya kumkosoa; utakiona sawa tu.
Nilichukua namba yake tuwe tunawasiliana nimwagize chakula ntakacho. Mtoto wa kizigua yule mashallah, ajua kupika.
Mwezi mmoja uliopita tulikuwa tumeanzisha utaratibu wa kufanyia kazi home kutokana na Corona.
Alinimiss akaona anitumie text kuwa amenimiss kesho anaomba anipikie chakula maalum. Text yake imeingia simu ipo mkononi mwa wife anaangalia some videos za whatsapp akaisoma ile text.
Alikuja tu kuuliza Salma ni nani? Mimi sikuwa najua Salma gani. Kabla sijajibu alinipiga na frying pan kichwani. Kwa sekunde kadhaa network ilikata nikawa nasikia milio ya nyuki, haraka ananivamia na kuanza kunishambulia kwa magumi na mateke. Wakati huo najiweka sawa alinipiga na remote jichoni.
Mchana kabisa nikaona giza halafu nyota nyota. Nilienda kwenye kochi nikainama nimepiga magoti huku nimeweka mikono machoni. Hapo kidogo akashtuka na kuacha kunipiga.
Nilitulia kwa dakika kadhaa maana nilianza pata waswasi kuwa pengine jicho limepasuka. Kumbe wakati huo akifanya hayo alikuwa amepiga simu kwa Salma bila yeye kujua(ali press call)
Basi baada ya kama dk 10 jicho likawa ok ila siwezi kuona kwenye mwanga linauma sana. Nikaenda chumbani sikusema kitu kwanza, nilikuwa natafakari hayo yoooote. Nikawa pengine nimekuwa weak sana. Ukikaa na mke miaka mingi hujampiga anaanza kuona wewe si mwanaume halisi.
After two days nlienda town, nikaonana na Salma. Kumbe alisikia baadhi ya maneno na sauti za kipigo kwangu. Siku hiyo aliomba kesho yake niende kwake tukaongee na kweli nilienda....
Baada ya stories kadhaa aliniomba tutoke nimsindikize hapo karibu dispensary. Maskini alinipeleka tukapime HIV kisha tukarudi home kwake. She gave herself to me kama pole kwa matatizo aliyonisababishia. Dispensary alinichukulia na dawa ya macho, tukarudi akaniosha na kuniweka dawa then later on tuka make love so passionately.
Mpaka leo wife hakuniomba msamaha na hakuwa ametaka kujua huyo Salma ilikuaje akaandika vile; alinihukumu bila kunisikiliza. Jumanne alijaribu tena kunikoromea tena kibabe mbele ya housegal. Safari hii nilimtandika kibao akaanguka na kutulia kama dk 5 kisha akaamka na kuanza kulia baada ya dk zaidi ya 6 kupita.
Naona imesaidia akili yake sasa imekaa sawa na heshima imerudi. Wanawake, ya nini kupigana?
Mbona ndoa wataka igeuza uwanja wa ngumi?Ila wakifumaniwa wanakosa nguvu. Ngoja nijaribu siku nikifumania mambo ya ajabu ajabu. Nitafidia
Huyo ni mwanamke, sio mke.Hao wameoa, wewe umeolewa hio ndio tofauti yenu.
Mwanamke mpaka anipige makofi labda niwe hoi mahututi. Kwangu mwanamke ni mwanamke tu hata awe nani katika nchii hii atakula kipigo cha mbwa koko na mashine juu ntamchapa nayo halafu freshi tu! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hio inaitwa "Putting a lady in her place!"
Ndio wako huyo, ishi naye kwa hekima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So mchezo. Sasa fikiria mtu anampiga "mke wake" "my wake" Baby wake" "sweetheart wake" kitu kama hicho.
Kuna wanaume hawapo romantic kabisa.
Hahahaha hasira hua haichagui kwa kupiga, kitu kizuri jamaa anaonesha bado yuko vizuri ku control hasira zake, angekuwa mwingine ungekuta bibie ni kilema au tushaanua matanga kitambo.
naifikiria hii bado hahaahahahaafrying pan kichwani
vipi Salma bado upo naye?Pale ofisini kuna dada mmoja mashallah huwa analeta chakula. Kaumbika sana yule, chakula anachokuletea hata akizidisha pilipili kama yupo mbele yako huwezi pata ujasiri au nguvu ya kumkosoa; utakiona sawa tu.
Nilichukua namba yake tuwe tunawasiliana nimwagize chakula ntakacho. Mtoto wa kizigua yule mashallah, ajua kupika.
Mwezi mmoja uliopita tulikuwa tumeanzisha utaratibu wa kufanyia kazi home kutokana na Corona.
Alinimiss akaona anitumie text kuwa amenimiss kesho anaomba anipikie chakula maalum. Text yake imeingia simu ipo mkononi mwa wife anaangalia some videos za whatsapp akaisoma ile text.
Alikuja tu kuuliza Salma ni nani? Mimi sikuwa najua Salma gani. Kabla sijajibu alinipiga na frying pan kichwani. Kwa sekunde kadhaa network ilikata nikawa nasikia milio ya nyuki, haraka ananivamia na kuanza kunishambulia kwa magumi na mateke. Wakati huo najiweka sawa alinipiga na remote jichoni.
Mchana kabisa nikaona giza halafu nyota nyota. Nilienda kwenye kochi nikainama nimepiga magoti huku nimeweka mikono machoni. Hapo kidogo akashtuka na kuacha kunipiga.
Nilitulia kwa dakika kadhaa maana nilianza pata waswasi kuwa pengine jicho limepasuka. Kumbe wakati huo akifanya hayo alikuwa amepiga simu kwa Salma bila yeye kujua(ali press call)
Basi baada ya kama dk 10 jicho likawa ok ila siwezi kuona kwenye mwanga linauma sana. Nikaenda chumbani sikusema kitu kwanza, nilikuwa natafakari hayo yoooote. Nikawa pengine nimekuwa weak sana. Ukikaa na mke miaka mingi hujampiga anaanza kuona wewe si mwanaume halisi.
After two days nlienda town, nikaonana na Salma. Kumbe alisikia baadhi ya maneno na sauti za kipigo kwangu. Siku hiyo aliomba kesho yake niende kwake tukaongee na kweli nilienda....
Baada ya stories kadhaa aliniomba tutoke nimsindikize hapo karibu dispensary. Maskini alinipeleka tukapime HIV kisha tukarudi home kwake. She gave herself to me kama pole kwa matatizo aliyonisababishia. Dispensary alinichukulia na dawa ya macho, tukarudi akaniosha na kuniweka dawa then later on tuka make love so passionately.
Mpaka leo wife hakuniomba msamaha na hakuwa ametaka kujua huyo Salma ilikuaje akaandika vile; alinihukumu bila kunisikiliza. Jumanne alijaribu tena kunikoromea tena kibabe mbele ya housegal. Safari hii nilimtandika kibao akaanguka na kutulia kama dk 5 kisha akaamka na kuanza kulia baada ya dk zaidi ya 6 kupita.
Naona imesaidia akili yake sasa imekaa sawa na heshima imerudi. Wanawake, ya nini kupigana?
Hta mimi kipande hicho kimenitafakarisha sana,hadi nimejiuliza"Alikuja tu kuuliza Salma ni nani?mi sikuwa najua Salma gani...kabla sijajibu alinipiga na frying pan kichwan.kwa sekunde kadhaa network ilikata nikawa nasikia milio ya nyuki.haraka ananivamia na kuanza kunishambulia kwa magumi na mateke.wakati huo najiweka sawa alinipiga na remote jichoni."
[emoji23][emoji23] mkuu pole sana
Ila hii sio chai kweli?
Utakuja kufa ziku nyingine....we iga tuNiliona shost zangu wanapiga wao na kuwalazimisha wafanye kazi za nyumbani. Nikasema nisiwe mzembe ngoja na mie nijaribu.