johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini.
Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za kisasa kabisa.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za kisasa kabisa.
Mungu wa mbinguni awabariki.