Siku Bima ya Afya kwa wote ikianza ndiyo utagundua wananchi wengi walikuwa wanatibiwa kwa Mwamposa na kwa waganga!

Siku Bima ya Afya kwa wote ikianza ndiyo utagundua wananchi wengi walikuwa wanatibiwa kwa Mwamposa na kwa waganga!

Nina uhakika kuwa, kanuni na taratibu za uendeshaji wa bima hiyo zitakuwa za kipigaji kama zilivyo kwa NHIF ya sasa au mifuko mingine ya mafao iliyokufa au ipo njiani kufa.
 
Back
Top Bottom