johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utajua hujui!Hospitali wanatibu mapepo?
Hiyo ndio ChangamotoYes, kwa maoni yako.
Kuhusu hii bima ni nzuri, sawa.
Wasiwasi wangu ni mmoja, ikiwa hii mifuko tu yenye idadi ndogo ya wanachama imewashinda kuiendesha,
Je, wataweza kusimamia bima ya afya kwa wa Tanzania wote?
Watatumia mbinu ipi?
Nilichoona ni tamko na mswada then sijui sheria or what, maandalizi yako vipiHiyo ndio Changamoto
Muswada utajadiliwa kwenye bunge lijaloNilichoona ni tamko na mswada then sijui sheria or what, maandalizi yako vipi
Ngoja tuoneBima haitazuia watu kwenda kupata huduma kwingine sabb mattz ni tofauti
kuna watu hujisikia amani kutibiwa na waganga wa kienyeji
Mwenye mapepo bima ya afya haitamsaidia kitu.Hospitali wanatibu mapepo?
Ndio hivyo kwan hujawahi ona mtu anajitibu kotekote kwa mganga kwa baba mchungaji na hosp 😃Ngoja tuone
Don't mention political parties in national issuesMuswada utajadiliwa kwenye bunge lijalo
Sina hakika kama tuna Wabunge mahsusi wa kujadili muswada huu kwa kina
Nakumbuka Sera ya Bima ya afya kwa Wote na ile ya Elimu Bure zilikuwa za Chadema lakini Shujaa Magufuli alizipenda na kuzichukua
Acha kumsanifu huyu mtu. Kila saa unamwita Shujaa. Hapendilakini Shujaa Magufuli alizipenda na kuzichukua
Msambatavangu ,hivi Mwakipande yupo au wasaidizi wake?Utajua hujui!
Mambo ya Kitaifa huanzia kwenye vyama vya Siasa ndio sababu Kamati kuu ya CCM huketi IkuluDon't mention political parties in national issues
Mwakipande aliokoka na kuchoma moto tunguli zakeMsambatavangu ,hivi Mwakipande yupo au wasaidizi wake?
ndioHospitali wanatibu mapepo?
Shujaa anabaki kuwa ShujaaAcha kumsanifu huyu mtu. Kila saa unamwita Shujaa. Hapendi