Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Natumaini nimekuwa mtetezi wa wanawake vya kutosha, kwa kiasi ambacho atafurahia.
Hata sasa kuna wanawake wengi hapa JF wanafurahia michango yangu.
Kwa kweli Binti yangu akiwa mpumbavu atanichukia vilivyo, Hilo halitaniumiza kuchukiwa na Binti mpumbavu.
Lakini kama atakuwa mwerevu na mwenye hekima basi atajivunia Baba yake