Siku binti yako akisoma nyuzi na maoni yako atafurahi au atasikitika?

Natumaini nimekuwa mtetezi wa wanawake vya kutosha, kwa kiasi ambacho atafurahia.

Hata sasa kuna wanawake wengi hapa JF wanafurahia michango yangu.

Kwa kweli Binti yangu akiwa mpumbavu atanichukia vilivyo, Hilo halitaniumiza kuchukiwa na Binti mpumbavu.

Lakini kama atakuwa mwerevu na mwenye hekima basi atajivunia Baba yake
 
Daaah,sijui itakuwaje πŸ€”πŸ˜”
 
πŸ˜₯Tena akifika kwenye mada ya mbuzi kagoma πŸ™†

πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ndipo ubaya wa mtandao ulipo.
Ingawaje akiwa mwerevu ataweza ku-judge Kwa Hekima.
Lakini ishu ni pale unaponda maumbile ya Watu alafu moja ya Watoto wako wawe na maumbile hayo
 
Wale wa kataa ndoa
Ndoa ni utapeli
Linda afya ya akili
Kataa ndoa

Tunaruhusiwa ku comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…