Siku CCM Itakapoondoka Madarakani, Furaha ya Watanzania Itakuwa Kubwa Kuzidi ile ya Nchi Ilipopata Uhuru

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,949
Kwa uhakika, uovu uliofanywa na CCM kwa Taifa hili haufikiwi hata na ule uliofanywa na mkoloni Mwingereza:

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa kupambana kutafuta uhuru, Mwalimu Nyerere (RIP), Rashid Kawawa, Bibi Titi, hawakuwahi kutekwa wala kushambuliwa kwa risasi.

CHINI YA CCM
Waliojaribu kupambana au kupinga udhulumaji wa haki unaofanywa na CCM, baadhi wameuawa au kupotezwa (Ali Kibao, Ben Sanane, Azory, Soka, na kadhaa toka Zanzibar, ni baadhi ya mifano); baadhi walishambuliwa kwa risasi (Tundu Lisu, ni mfano mmojawapo), wengine walipigwa marungu, kuswekwa magerezani na kubambikiwa kesi (Freeman Mbowe, Halima Mdee, Msigwa, hayati Maalim Seif RIP, John Mnyika, Sugu, na wengine wengi, nii mifano inayoishi).

WAKATI WA MKOLONI
Rasilimali za nchi kama vile madini, yalichimbwa na kupelekwa Ulaya, lakini kodi za wananchi hazikuibiwa.

CHINI YA CCM
Njia kuu za uchumi na rasilimali za nchi kama vile bandari, hifadhi za misitu, mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, wamegawiwa wageni, kwa manufaa duni kwa Taifa.

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa harakati za kutafuta uhuru, akina Nyerere na wapambanaji wengine waliukosoa wazi ukoloni na waliusema ubaya wa ukoloni kwa lugha yoyote waliyopenda kuitumia, lakini hakuna alitetekwa.

CHINI YA CCM
Taarifa ya CAG, kila mwaka inaonesha ubadhirifu wa mabilioni hadi matrilioni ya pesa, kodi za wananchi, lakini hakuna hata mmoja anayechukuliwa hatua kwa sababu kila mmoja ama ni mbadhirifu au ni mwizi. Anayethubutu kuwakosoa watawala na Serikali, maisha yake yanakuwa hatarini.

WAKATI WA MKOLONI
Mkoloni alipokubali kufanyika uchaguzi ili kuunda Bunge, kwenye uchaguzi ule wa kura 3, hakika ulikuwa uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kulalamika kuwa ama alienguliwa au kuibiwa kura au kutotangazwa baada ya kushinda.

CHINI YA CCM
Uchaguzi wa CCM, hata wakati wa mfumo wa chama kimoja, umejaa uchafu wa kila aina. Wakati wa chama kimoja, Rais Mwinyi RIP, huko Kigoma aliwahi kupata kura za NDIYO nyingi kuzidi idadi ya wapiga kura. Kule Igunga wakati wa uchaguzi mdogo baada ya Rostam Aziz kujiuzulu, Dr Kafumu kwenye kata moja aliwahi kupata kura nyingi kuzidi idadi ya wapifa kura. Lakini kwa nchi nzima, ni upuuzi mtupu, ni mwendo wa kuengua wapinzani, kutowatangaza hata wakishinda, kuteka na kuua wagombea wa upinzani (pale Ikungi mgombea wa CHADEMA nafasi ya kitongozi aliuawa na polisi huku familia yake ikishuhudia).

Hivi kwa mazingira haya, siku ikitokea CCM imeondolewa madarakani, itakuwa ni furaha na sherehe ya kiwango gani kwa Taifa??

Kama laiti Wazee wetu wangejua baada ya kumwondoa mkoloni, watakaokuja kutawala watakuwa hivi, sijui kama wangeshiriki kuutafuta uhuru!!
 
Maccm ni mashetani!
 
I can't wait kuwaona kama wanaweza kuvumilia siasa wakiwa Wapinzani maana wamezoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi.
 
CHINI YA CCM
Njia kuu za uchumi na rasilimali za nchi kama vile bandari, hifadhi za misitu, mbuga za wanyama,
WAKATI WA MKOLONI
Mkoloni alipokubali kufanyika uchaguzi ili kuunda Bunge, kwenye uchaguzi ule wa kura 3, hakika ulikuwa uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kulalamika kuwa ama alienguliwa au kuibiwa kura au kutotangazwa baada ya kushinda.

CHINI YA CCM
Hivi kwa mazingira haya, siku ikitokea CCM imeondolewa madarakani, itakuwa ni furaha na sherehe ya kiwango gani kwa Taifa??
Hiyo siku..., sijui kama itakuja kufika, maana....

Hivyo utasubiri sana!.
P
 
Kwa uhakika, uovu uliofanywa na CCM kwa Taifa hili haufikiwi hata na ule uliofanywa na mkoloni Mwingereza:

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa kupambana kutafuta uhuru, Mwalimu Nyerere (RIP), Rashid Kawawa, Bibi Titi, hawakuwahi kutekwa wala kushambuliwa kwa risasi.

CHINI YA CCM
Waliojaribu kupambana au kupinga udhulumaji wa haki unaofanywa na CCM, baadhi wameuawa au kupotezwa (Ali Kibao, Ben Sanane, Azory, Soka, na kadhaa toka Zanzibar, ni baadhi ya mifano); baadhi walishambuliwa kwa risasi (Tundu Lisu, ni mfano mmojawapo), wengine walipigwa marungu, kuswekwa magerezani na kubambikiwa kesi (Freeman Mbowe, Halima Mdee, Msigwa, hayati Maalim Seif RIP, John Mnyika, Sugu, na wengine wengi, nii mifano inayoishi).

WAKATI WA MKOLONI
Rasilimali za nchi kama vile madini, yalichimbwa na kupelekwa Ulaya, lakini kodi za wananchi hazikuibiwa.

CHINI YA CCM
Njia kuu za uchumi na rasilimali za nchi kama vile bandari, hifadhi za misitu, mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, wamegawiwa wageni, kwa manufaa duni kwa Taifa.

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa harakati za kutafuta uhuru, akina Nyerere na wapambanaji wengine waliukosoa wazi ukoloni na waliusema ubaya wa ukoloni kwa lugha yoyote waliyopenda kuitumia, lakini hakuna alitetekwa.

CHINI YA CCM
Taarifa ya CAG, kila mwaka inaonesha ubadhirifu wa mabilioni hadi matrilioni ya pesa, kodi za wananchi, lakini hakuna hata mmoja anayechukuliwa hatua kwa sababu kila mmoja ama ni mbadhirifu au ni mwizi. Anayethubutu kuwakosoa watawala na Serikali, maisha yake yanakuwa hatarini.

WAKATI WA MKOLONI
Mkoloni alipokubali kufanyika uchaguzi ili kuunda Bunge, kwenye uchaguzi ule wa kura 3, hakika ulikuwa uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kulalamika kuwa ama alienguliwa au kuibiwa kura au kutotangazwa baada ya kushinda.

CHINI YA CCM
Uchaguzi wa CCM, hata wakati wa mfumo wa chama kimoja, umejaa uchafu wa kila aina. Wakati wa chama kimoja, Rais Mwinyi RIP, huko Kigoma aliwahi kupata kura za NDIYO nyingi kuzidi idadi ya wapiga kura. Kule Igunga wakati wa uchaguzi mdogo baada ya Rostam Aziz kujiuzulu, Dr Kafumu kwenye kata moja aliwahi kupata kura nyingi kuzidi idadi ya wapifa kura. Lakini kwa nchi nzima, ni upuuzi mtupu, ni mwendo wa kuengua wapinzani, kutowatangaza hata wakishinda, kuteka na kuua wagombea wa upinzani (pale Ikungi mgombea wa CHADEMA nafasi ya kitongozi aliuawa na polisi huku familia yake ikishuhudia).

Hivi kwa mazingira haya, siku ikitokea CCM imeondolewa madarakani, itakuwa ni furaha na sherehe ya kiwango gani kwa Taifa??

Kama laiti Wazee wetu wangejua baada ya kumwondoa mkoloni, watakaokuja kutawala watakuwa hivi, sijui kama wangeshiriki kuutafuta uhuru!!
Duh 🙄 !
Kwakweli sijui hata niandike nini 😳!
Sijui wahusika wakiusoma uzi huu watajisikiaje kwenye mwezi huu wa Ramadhan na Kwaresma 😳 !
 
Tuombe Mungu awageuze waachane na unafiki, wauvae ukweli, na waifurahie haki kuliko dhuluma na uovu.
 
Tusikate tamaa, hakuna aliyewahi kufikiria nyakati hizo kuwa dola ya Kirumi siku moja itaanguka na kupitea, sembuse CCM!!

Siku zote dhuluma huwa haidumu milele, bali ambacho huwa hakijulikani ni siku dhuluma itakapofutika.
 
Amen
P
 
CCM ni makupe!! Siku hiyo viwete watatembea na viziwi watasikia...

Naomba ifike inikute ningali hai nishuhudie Uhuru wa Tanganyika ulio wa kweli.
 
Shida mpo kichama/kipinzan ndo maana mwasema.
- vip wew ukiwekwa madarakan hutakula futa na ukumbke maisha ya utaftaj huwa hatulziki.
 
Back
Top Bottom