Siku CCM Itakapoondoka Madarakani, Furaha ya Watanzania Itakuwa Kubwa Kuzidi ile ya Nchi Ilipopata Uhuru

Kwa wale waitwao 'beberu' uchawa kwenye uchafu hata ile 'hata' haipo. Tafakari taswira hii ambapo Waziri mkuu mpya wa Canada anaenda kwa mkuu wa nchi yake, ze King Charles II, Buckingham Palace. Ngoma za majoka pia walishamalizana nazo zamani .... na chawa pia! Huyu mkuu hjapitia Veta kupata ufundi wa kuchomelea !

1742294310783.png
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Ccm imeviteka vyombo vyote vya Dola, havijitambui. Ipo siku vitajitambua itatoka madarakani.
Pia tunaweza kupata msaada wa kuitoa madarakani kwa nguvu kutoka nje ya nchi. Mfano: Libya, Iraq na juzi tumeona Siria. Siku za ccm madarakani zinahesabika!
 
Kwa uhakika, uovu uliofanywa na CCM kwa Taifa hili haufikiwi hata na ule uliofanywa na mkoloni Mwingereza:

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa kupambana kutafuta uhuru, Mwalimu Nyerere (RIP), Rashid Kawawa, Bibi Titi, hawakuwahi kutekwa wala kushambuliwa kwa risasi.

CHINI YA CCM
Waliojaribu kupambana au kupinga udhulumaji wa haki unaofanywa na CCM, baadhi wameuawa au kupotezwa (Ali Kibao, Ben Sanane, Azory, Soka, na kadhaa toka Zanzibar, ni baadhi ya mifano); baadhi walishambuliwa kwa risasi (Tundu Lisu, ni mfano mmojawapo), wengine walipigwa marungu, kuswekwa magerezani na kubambikiwa kesi (Freeman Mbowe, Halima Mdee, Msigwa, hayati Maalim Seif RIP, John Mnyika, Sugu, na wengine wengi, nii mifano inayoishi).

WAKATI WA MKOLONI
Rasilimali za nchi kama vile madini, yalichimbwa na kupelekwa Ulaya, lakini kodi za wananchi hazikuibiwa.

CHINI YA CCM
Njia kuu za uchumi na rasilimali za nchi kama vile bandari, hifadhi za misitu, mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, wamegawiwa wageni, kwa manufaa duni kwa Taifa.

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa harakati za kutafuta uhuru, akina Nyerere na wapambanaji wengine waliukosoa wazi ukoloni na waliusema ubaya wa ukoloni kwa lugha yoyote waliyopenda kuitumia, lakini hakuna alitetekwa.

CHINI YA CCM
Taarifa ya CAG, kila mwaka inaonesha ubadhirifu wa mabilioni hadi matrilioni ya pesa, kodi za wananchi, lakini hakuna hata mmoja anayechukuliwa hatua kwa sababu kila mmoja ama ni mbadhirifu au ni mwizi. Anayethubutu kuwakosoa watawala na Serikali, maisha yake yanakuwa hatarini.

WAKATI WA MKOLONI
Mkoloni alipokubali kufanyika uchaguzi ili kuunda Bunge, kwenye uchaguzi ule wa kura 3, hakika ulikuwa uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kulalamika kuwa ama alienguliwa au kuibiwa kura au kutotangazwa baada ya kushinda.

CHINI YA CCM
Uchaguzi wa CCM, hata wakati wa mfumo wa chama kimoja, umejaa uchafu wa kila aina. Wakati wa chama kimoja, Rais Mwinyi RIP, huko Kigoma aliwahi kupata kura za NDIYO nyingi kuzidi idadi ya wapiga kura. Kule Igunga wakati wa uchaguzi mdogo baada ya Rostam Aziz kujiuzulu, Dr Kafumu kwenye kata moja aliwahi kupata kura nyingi kuzidi idadi ya wapifa kura. Lakini kwa nchi nzima, ni upuuzi mtupu, ni mwendo wa kuengua wapinzani, kutowatangaza hata wakishinda, kuteka na kuua wagombea wa upinzani (pale Ikungi mgombea wa CHADEMA nafasi ya kitongozi aliuawa na polisi huku familia yake ikishuhudia).

Hivi kwa mazingira haya, siku ikitokea CCM imeondolewa madarakani, itakuwa ni furaha na sherehe ya kiwango gani kwa Taifa??

Kama laiti Wazee wetu wangejua baada ya kumwondoa mkoloni, watakaokuja kutawala watakuwa hivi, sijui kama wangeshiriki kuutafuta uhuru!!
Bandiko maridhawa.
 
Attachments

  • FB_IMG_17375278620527460.jpg
    FB_IMG_17375278620527460.jpg
    302.5 KB · Views: 14
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Ccm imeviteka vyombo vyote vya Dola, havijitambui. Ipo siku vitajitambua itatoka madarakani.
Laiti ungelijua!, mbona nawawekea links kuwaelimisha hamsomi?. CCM haijaviteka vyombo vya dola, huwezi kuteka kitu ambacho ni chako!, kama ambavyo huwezi kuiba mali yako mwenyewe ni unachukua!, CCM haijaviteka vyombo vya dola, kwasababu hivyo vyombo ni vyake!.
Pia tunaweza kupata msaada wa kuitoa madarakani kwa nguvu kutoka nje ya nchi. Mfano: Libya, Iraq na juzi tumeona Siria. Siku za ccm madarakani zinahesabika!
Haya wewe endelea kuzihesabu, mimi nakuhakikishia, utasubiri sana!.
P
 
Laiti ungelijua!, mbona nawawekea links kuwaelimisha hamsomi?. CCM haijaviteka vyombo vya dola, huwezi kuteka kitu ambacho ni chako!, kama ambavyo huwezi kuiba mali yako mwenyewe ni unachukua!, CCM haijaviteka vyombo vya dola, kwasababu hivyo vyombo ni vyake!.

Haya wewe endelea kuzihesabu, mimi nakuhakikishia, utasubiri sana!.
P
Kwa maana nyingine vyombo vya Dola vimeolewa na ccm. Ipo siku vitashindwa kuvumilia hiyo ndoa ya manyanyasao. Hapo ndipo ccm mtaona rangi zote za Duniani.
Halafu hizo links zako zote huwa ni mawazo Yako wewe Paschal, ingawaje nayaheshimu mawazo Yako.
 
Kwa uhakika, uovu uliofanywa na CCM kwa Taifa hili haufikiwi hata na ule uliofanywa na mkoloni Mwingereza:

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa kupambana kutafuta uhuru, Mwalimu Nyerere (RIP), Rashid Kawawa, Bibi Titi, hawakuwahi kutekwa wala kushambuliwa kwa risasi.

CHINI YA CCM
Waliojaribu kupambana au kupinga udhulumaji wa haki unaofanywa na CCM, baadhi wameuawa au kupotezwa (Ali Kibao, Ben Sanane, Azory, Soka, na kadhaa toka Zanzibar, ni baadhi ya mifano); baadhi walishambuliwa kwa risasi (Tundu Lisu, ni mfano mmojawapo), wengine walipigwa marungu, kuswekwa magerezani na kubambikiwa kesi (Freeman Mbowe, Halima Mdee, Msigwa, hayati Maalim Seif RIP, John Mnyika, Sugu, na wengine wengi, nii mifano inayoishi).

WAKATI WA MKOLONI
Rasilimali za nchi kama vile madini, yalichimbwa na kupelekwa Ulaya, lakini kodi za wananchi hazikuibiwa.

CHINI YA CCM
Njia kuu za uchumi na rasilimali za nchi kama vile bandari, hifadhi za misitu, mbuga za wanyama, viwanja vya ndege, wamegawiwa wageni, kwa manufaa duni kwa Taifa.

WAKATI WA UKOLONI
Wakati wa harakati za kutafuta uhuru, akina Nyerere na wapambanaji wengine waliukosoa wazi ukoloni na waliusema ubaya wa ukoloni kwa lugha yoyote waliyopenda kuitumia, lakini hakuna alitetekwa.

CHINI YA CCM
Taarifa ya CAG, kila mwaka inaonesha ubadhirifu wa mabilioni hadi matrilioni ya pesa, kodi za wananchi, lakini hakuna hata mmoja anayechukuliwa hatua kwa sababu kila mmoja ama ni mbadhirifu au ni mwizi. Anayethubutu kuwakosoa watawala na Serikali, maisha yake yanakuwa hatarini.

WAKATI WA MKOLONI
Mkoloni alipokubali kufanyika uchaguzi ili kuunda Bunge, kwenye uchaguzi ule wa kura 3, hakika ulikuwa uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kulalamika kuwa ama alienguliwa au kuibiwa kura au kutotangazwa baada ya kushinda.

CHINI YA CCM
Uchaguzi wa CCM, hata wakati wa mfumo wa chama kimoja, umejaa uchafu wa kila aina. Wakati wa chama kimoja, Rais Mwinyi RIP, huko Kigoma aliwahi kupata kura za NDIYO nyingi kuzidi idadi ya wapiga kura. Kule Igunga wakati wa uchaguzi mdogo baada ya Rostam Aziz kujiuzulu, Dr Kafumu kwenye kata moja aliwahi kupata kura nyingi kuzidi idadi ya wapifa kura. Lakini kwa nchi nzima, ni upuuzi mtupu, ni mwendo wa kuengua wapinzani, kutowatangaza hata wakishinda, kuteka na kuua wagombea wa upinzani (pale Ikungi mgombea wa CHADEMA nafasi ya kitongozi aliuawa na polisi huku familia yake ikishuhudia).

Hivi kwa mazingira haya, siku ikitokea CCM imeondolewa madarakani, itakuwa ni furaha na sherehe ya kiwango gani kwa Taifa??

Kama laiti Wazee wetu wangejua baada ya kumwondoa mkoloni, watakaokuja kutawala watakuwa hivi, sijui kama wangeshiriki kuutafuta uhuru!!
Daah kwenye hii kuna watu wa hovyo sana ukiona mtu anaisema CCM vibaya anaupungufu wa hakili ccm mpaka unajua kusoma na kuandika bila chama hicho ungekuwa mbumbu leo unakashifu jitafakali mzee
 
Back
Top Bottom