Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Nina mpango wa kuanzisha taasisi yangu ya ki intelijensia itakayofanya kazi km CBI. Nitaipa jina la TBI yaani Tanzania Bureau of Investigation.

Natafuta watu makini kutoka Marekani na uingereza pamoja na watanzania vijana kuifanya hiyo kazi
mkuu wazo nzuri sana lakini hawa maharamia sidhani watakuacha salama labda ofisi ziwe nje ya Tanzania
 
Jambo Ia ajabu sana jalada la Ben saa nane limefungwa tayari hakuna chochote kinaendelea
 
Mkuu,nikiwahi kusema kuwa kama Taifa,rasilimali watu kama Ben,Malisa,Mnyika,Lissu,Zitto ni watu ambao hata kama ni watu wa "ukweli mchungu",lakini ni wajenga hoja wazuri ambao Taifa tungenufaika nao kama wangekuwa "wasiojulikana" kwa maslahi ya Taifa. As long as sote tu Watanzania,na lengo letu ni jema la kuijenga Tanzania,basi hata kama hawa watu ni "maadui kihoja",bado twaweza tumia uwezo wao wa kipekee kuinufaisha nchi.
 
Inaumiza mtu na Phd yake anateketezwa kama karatasi....
 
Mbona hawajaongelea kuhusu comment ya mwanahalisi?Kwamba ben alionekana kwenye vijiwe vya kahawa?
Kumbe wanalumumba mnaliamini mwanahalisi? Mara museme linapotosha na kulifungia, halafu tena unataka ndo litumike kwa reference. You can't have it both ways.

You can't have your cake and eat it too.
 
Kubenea anasema , Ben anaonekana usiku na washkaji zake, kwa nini msianzie hapo? Machadema Akili zenu sawa na za nyumbu tu
Magazeti yakiandika habari huwa yanafuatiliwa na kufungiwa ama wanaitwa kuhojiwa. Sasa hili la Kubenea unataka chadema ndo wamuulize. Hizi akili za hii awamu taabu kweli kweli.
 
Kwann polis wanagoma kutoa details kuhusu mawasiliano ya mwisho ya Ben...
 
Bashite na mpenzi wako tunaomba turudishieni Ben, tumechoka na mipango yenu ovu. Kumbukeni Ben ni mtu mwenye familia na watoto pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…