Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Kwa style ya utawal huu Ben ametekwa na amefichwa na watu wasiojulikana!!! Huenda hata wameshamuua!! Lakini kama wangemuua wangeweka wazi maiti yake!! Huyu watakuwa wamemuweka kwenye zile nyumba zao wanaziita safe house.....anakuwa kifungoni...detention ya siri....!!! Eehe Mungu mhurumie yeye na familia yake!! Ili iweje??? Kama hutaki kupingwa si utoke umelazimishwa kuwa hapo? Ukikaa kwako wala hatutakufuata....hatutakupinga ila ukiwa hapo kupingwa lazimaa
 
Tamaa kubwa sana ya vyeo na ulaji ndio imempoteza huyu dogo, wahusika wanaweza kuwa ni wenzie kwenye chama Chao chandema.
Nakumbuka toka alipojiunga hapa akiwa India kimasomo kulikuwa na tuhuma za magumashi aliyofanya na mwanamke kariakoo.
Na huyo binti ndo alikua anaweka mambo yote hadharani hapa
 
Gazeti la Kubenea lilisema alionekana tena kwa baadhi ya watu. Kubenea ameulizwa?
 

Kama ambavyo amemficha dreva wa lissu hivi sasa ili asihojiwe, hawa wanataka kuchosha tu akili za watu.
 


 
Tuombe uzima tu. Tumejawa uzembe ktk intelijensia yetu kwa sasa
 
Haihitaji elimu kujua Ben kapotezwa na hawa mungiki wetu ( wasiojulikana )
 
Umejuaje kuwa Ben ameuliwa?. Ben ni ametoweka, hajulikani alipo wala hakuna ajuaye kilichomkuta, wewe mwenzetu umejuaje haya?!.
P
 
Kwa maelezo haya naamini wakija Scotland Yard au FBI ndani ya masaa 24 watatoa mwelekeo!
Sio kwamba siviamini vyombo vyetu vya uchunguzi lakini ni kutokana na ukweli kwamba sasa mwaka umeisha bila kujua kilichomtokea Mtanzania huyu.
Ambacho hujui ni kwamba ndani ya USA kuna matukio ya mauaji takriban laki mbili na ushèe yaliyofanywa na watu wasiojulikana ndani ya miaka 10... na hao FBI wako hawana nyimbo wala majibu
 
Nenda ukaitoe hiyo habari huko kwenye app utuletee hapa. Sisi wengine tunaijua sana technology lakini si watumiaji wa kila kijacho sokoni hasa hizi za miaka ya karibuni.
Makonda ndie amesema sana sana manake cheo chake kimesimama kwa sababu ya hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…