Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

Ungetoa mfano wa (kuhatarisha maisha ya watu m50" alikokufanya Ben ingependeza na kuipa hoja yako hii uzito. Mimi naona kama umekurupuka tu hujui unachoandika hapa.
We ndo umekurupuka. Huo ni mfano wa dhana nzima ya kanuni za dunia... Ni mfano. Ben saanane kosa kubwa ilikua ni personal attacks kwa mkuu wa kaya, alilenga kumdhalilisha na kumuaibisha badala ya kupinga hoja kwa hoja yeye alijaa dhihaka na matusi. Sitaki kuyataja najua mnafahamu
Mkuu wa kaya ndiye taswira ya nchi, unapomzushia uongo na uzandiki unachafua taswira ya nchi nzima, ndio maa Silvio berluscon waziri mkuu mstaafu wa italia, aliposhutumiwa kwa uhuni na ubakaji alijiuzuru kuokoa taswira ya Italia nzima.
Upinzani ni hoja. Dr slaa hakuwahi kumtusi mtu alijijenga kwa hoja, watoto kama Ben na mdude hawana hoja wamejaa matusi
 
Ni beni pekee ndiye alikua kinala wa matusi , bro asikudanganye mtu dunia ina kanuni zake ukizivunja utapotea. Watanzania tupo zaidi ya million 50 akitokea mtumoja anahatarisha maisha ya watu m 50 atapotezwa tu. Sio Tanzania tu ni dunia nzima
Kwa hiyo unatushuhudia alipotezwa?
 
We ndo umekurupuka. Huo ni mfano wa dhana nzima ya kanuni za dunia... Ni mfano. Ben saanane kosa kubwa ilikua ni personal attacks kwa mkuu wa kaya, alilenga kumdhalilisha na kumuaibisha badala ya kupinga hoja kwa hoja yeye alijaa dhihaka na matusi. Sitaki kuyataja najua mnafahamu
Mkuu wa kaya ndiye taswira ya nchi, unapomzushia uongo na uzandiki unachafua taswira ya nchi nzima, ndio maa Silvio berluscon waziri mkuu mstaafu wa italia, aliposhutumiwa kwa uhuni na ubakaji alijiuzuru kuokoa taswira ya Italia nzima.
Upinzani ni hoja. Dr slaa hakuwahi kumtusi mtu alijijenga kwa hoja, watoto kama Ben na mdude hawana hoja wamejaa matusi
Ninakushangaa sana, kwa maana huelewi unachokiandika. Na huoni unavyojikanganya katika maelezo yako na mfano huo ulioutoa wa kiongozi wa Italy.

Kwa nini Berluscon hakuwapoteza hao wahuni, kama alivyopotezwa Ben.
Ukeli ni kuwa huwezi kuelewa ninachoandika hapa kwa mawazo haya potofu uliyonayo.
 
Sisi n Watanzania sio wa Amerika. Hatutaki mauaji ya ovyo kwasababu yapo USA.
Si kwamba tunataka mauaji kama yale ya USA ...
Hoja ilikuwa kuwaita sijui FBA au CIA waje kushughulikia wasiojulikana ndipo tukakumbusha kwamba hata huko ambako wako hao FBI/CIA kuna matukio zaidi ya laki mbili yamefanywa na wasiojulikana na hawajakamatwa..
Kuna wajinga humu wanaoamini kila kitu kinawezekana na wengine wanaamini kila kitu hakiwezekani
 
Je kupotezwa Kwa Ben kumebadilisha sababu halisi ya kupotezwa kwake.Uliyeitoa hio PhD Mungu anakuona.
 
Kama alichukizwa na yule msanii Idris kuhusu picha ya rais, lazima issue ya Ben ni yeye tu.
Bashite anahusika 100% katika hayo matukio mawili,Organiser wa show nzima,siku mbili kabla Ben hajapotea alikuwa ana appointment na BASHITE,Narudia kusema tena wazazi/ndugu wa BEN ni wapole sana,yaani unajua ni nani aliyeua ndugu yenu halafu wapo tu kimya.

Ndio maana sitaki kabisa kumiliki mguu wa kuku maana kwa damu hii ya kigaidi niliyokua nayo wakinifanyia matendo kama hayo hakika naweza kufumua ubongo wa mtu hadharani kama MWAMWINDI.
 
Alaaniwe Mbowe na genge lake. RIP saanane
Mbona kama angekuwa ni Mbowe tayari vyombo vya dola vya CCM vingekiwa vimesha mfungulia mashaka. Hiyo ni kazi ya BASHITE tu.

Halafu nenda UDSM kaitafute hilo andiko la PhD ya Jiwe aliyogushi kwa Supervisor wake, ukiiona uni tag!!

Imekwisha ondolewa
 
Ndugu zake wamfanyie tu dua.
Ya mtu aliyefariki.
Ni ndoto kurudi kwake.
Tukubali au tukatae japo inauma.
Ila ndio ukweli
 
Damu ya Ben, Mwangosi, Mawazo na wengineo lazima itakuja kulipwa tu! Lazima
 
Nimemkumbuka Ben, this was his last post humu jf, ilipostiwa Nov 15, 2016
P.
Mtu huyu mwenye rekodi ya mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.
Angalia heading ya bandiko lako hili, na tarehe ya bandiko hili, halafu angalia nini kilikuja kutokea kwa Ben Saanane.

Wana jf tuanze kujifunza kuchunga kauli zetu, kauli nyingine zinaumba, ukisema mwisho wa fulani, bila hata wewe kumaanisha ni mwisho kwa kutoweka, kwenye heading ulisema

"ben-saanane-mwisho-wake-umefika-rasmi",
Wewe bila kujua kuwa kauli hii ina powers, baada ya kutolewa bila kuwekewa any caveat ya mwisho wa nini, then powers zimeanza ku act kuutengeneza mwisho wa Ben.

Maadam kwenye bandiko hili, ulidhamiria mwisho wa Ben Saanane ni mwisho kwenye uchaguzi wa Bavicha, then the headline yako should have said so, " Ben Saanane Mwisho Wake Kugombea Bavicha Umefika Rasmi " ili zile powers za kauli yako iwe limited kwa Bavicha tuu, kitendo cha kutoa open ended statements bila kinga, ndicho kimepelekea kuchangia kufika mwisho kwa Ben Saanane.

Kwenye bandiko hili mimi pia nilichangia
Japo mimi nina chama na sio Chadema, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.

Thanks.
Pasco.
From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.
Happy Birthday Ben Saanane.
P
 
Kwahiyo bwana yule katumia andiko la Mwl wake kuGraduate?
Mbona kama angekuwa ni Mbowe tayari vyombo vya dola vya CCM vingekiwa vimesha mfungulia mashaka. Hiyo ni kazi ya BASHITE tu.

Halafu nenda UDSM kaitafute hilo andiko la PhD ya Jiwe aliyogushi kwa Supervisor wake, ukiiona uni tag!!

Imekwisha ondolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom