Siku gani ulichacha hutaisahau?

Uliyosema ni sahihi..uwezo ni mdogo, ila kwa kweli nitapambana amalize, yupo form 3 now kumuhamisha ni kumsumbua kisaikolojia.
 
Saiv ndio nimechacha yaan nimebakiwa na elfu tano tu na kazi nimefukuzwa nawaza ikiisha hii buku 5 nitaishije?.. God help me😪😪
 
2014 disemba kuelekea kwenye masikukuu office zimefungwa nimetumia hela zangu zote kusupply kwa wateja wangu ili nikilipwa nipige mshindo wakufungia mwaka nikaambiwa malipo january walipaji wamerud makwao kwa krismas kaz ndio ilianzia hapo nipo getto sina hata ten na mchumba yuko chuo kisha onyesha dalili zote za kukengeuka na kuacha manyoya getto no king'amuz no gas kwenye friji kuna dumu la maji la lita tano na sukari tu nikasema ngoja tuone sipigi mzinga wala sikopi mpaka nione mwisho wake nikapiga desh usiku, siku hio kamchumba kamenilia buyu siku nzima saa nne siku ikaingia sms nyc nyts asubuh nikaamka saa tano njaa moja matata nikasema apa hakuna mzinga wala kukopa mpaka januari nikaoga zangu nikalamba sukari nikalala tena nikaamka saa kumi na moja na njaa ya sudani kusini apo nilipokua nmepanga nje kuna miembe miwili nikatoka nje nikapita na maembe mawili mabich machachu balaa nikayagonga kibishi meno yakafa ganz nikalamba sukar nikanywa maji usiku wa pili ukaingia kabla ya kulala ikaingia sms nyc nyts sikuijibu maana hata salio sikua nalo usingiz ukipita kushtuka saa nne asubuhi nikawah maembe kabla mama mwenye nyumba hajatoka kanisani anapenda kukaa chini mwembe wake nilivyomaliza tu kumeza yale maembe machachu simu ikaanza kuita kuchek number ngeni kupokea saut naijua ni mteja wangu wazamani sana akaniambia tukutane kibo complex tegeta at that time niko basihaya boko ndio magetoni nikamwambia niko nakaz naimaliza after two hours ndio nitatoka home maana kwa gar ni mwendo wa 15mnts ila kwa mguu mwendo wa kijesh masaa mawili au limoja na nusu unafika so mmi nilijipa masaa mawili nusu ya kutembea sababu ya baa la njaa lililokua linaniandama nikafika kibo jamaa alikua 71 counter anakula biere akamuamuru muhudumu anisikilize nikasingizia malaria jamaa akaamin kutokana na ile njaa hadi misuli ya kichwa ilikua imedinda tukapiga story na jamaa kuhusu project yako akatoa advance laki tisa cash tulivyoagana nikapita bar ya jiran nikaagiza bonge la ugari na mbuzi choma alafu nikarudi home na bajaji hio experince niluopitia kipind hicho ilinifanya niamin kwel njaa inaua pili ukitumia resource yoyote iliopo mbele yako njaa haikuui pia since that time nikipata tatizo lolote lakiuchumi au kijamii nali face mwenyewe tu kimyakimya
 
Sometimes unakomaa hamna kuomba hadi uone mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…