Leo mwenzangu upo vizuri?Njoo tugawane umaskini
MM kunasiku, nilikua sina hela kabisa nikafanya mpango nikakopa Mpawa, ila walinipa buku tano tuu, ikanisave kiainaKuna siku nilichacha siwezi kuisahau maishani. Nilibakiwa na 10,000/- mfukoni. Sasa nilikuwa najisikia vibaya nikaenda kupima malaria nikawa ninayo. Nikawa njia panda, ninunue dawa au chakula maanake huwezi kunywa dawa bila kula ikabidi ninunue msosi tu nikala nikalala na malaria yangu. Kesho nikapiga mishe nikapata hela ya dawa na chakula
Nilijua peke angu manake humu kila MTU ana gar
Wamenambia wao wanachacha kila sikuWanakuja kukudhihaki kwa matusi tele matajiri wa JF kama vile kuchacha ni laana au dhambi[emoji87]
"Stand for the truth always stand alone"
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepewa buku 5 ulivyoitoa ulipata sh ngapi?MM kunasiku, nilikua sina hela kabisa nikafanya mpango nikakopa Mpawa, ila walinipa buku tano tuu, ikanisave kiaina
Keyboard zisikuzuzue mkuuNilijua peke angu manake humu kila MTU ana gar
Enzi hizo hamna hizo mpawaMM kunasiku, nilikua sina hela kabisa nikafanya mpango nikakopa Mpawa, ila walinipa buku tano tuu, ikanisave kiaina
Mtu mpaka unasahau ni siku gani,Ni shida
Kamari, kufa kupona, nikapona
Uwiii pole mpenzi,kaka Mudi ana roho ya utu azidi kubarikiwa.Siku ambazo sitazisahau maana si moja kama wk 2 sina kitu mweupee nipo kwenye chumba cha kupanga saa yoyote unaweza daiwa pesa ya umeme, na hata pesa ya kula sina hata ile 2000 sina, Daaah ila mambo ni mengi ila namshukuru mpangaji mwenzangu kaka mudi alinisitili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi kuomba siwezi,nakufa na taishingoniMwaka 2009.ulikuwa Mwaka mbaya sana. Hata hela ya kula nilikuwa nakosa. Kulala na njaa siku tatu ilikuwa ni kawaida. Na kuomba nilikuwa siwezi. Njaa isikie kwa mwenzio. Nilipigika aswaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mudi ana roho nzuri sanaSiku ambazo sitazisahau maana si moja kama wk 2 sina kitu mweupee nipo kwenye chumba cha kupanga saa yoyote unaweza daiwa pesa ya umeme, na hata pesa ya kula sina hata ile 2000 sina, Daaah ila mambo ni mengi ila namshukuru mpangaji mwenzangu kaka mudi alinisitili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Wewe, Mimi sijalipa ada ya term ya kwanza, yaani sijatoa hata Mia, nahisi akirudi likizo ya pasaka wanamtimua.Mtu mpaka unasahau ni siku gani,
mwanangu kafumua 100 mitihani yote hapa kaja ananipa story za kumpeleka matanuzi....mama yake sina hata buku!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ishaalah utapata mpe hongera zangu πππMtu mpaka unasahau ni siku gani,
mwanangu kafumua 100 mitihani yote hapa kaja ananipa story za kumpeleka matanuzi....mama yake sina hata buku!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ukichacha 4500 nyingiiiiUmepewa buku 5 ulivyoitoa ulipata sh ngapi?
Daaah ila kuomba bora uombe kwa watu baki si kwa ndugu ni kujichoreshaHata mimi kuomba siwezi,nakufa na taishingoni
kwa kweli tupo wengiHata mimi kuomba siwezi,nakufa na taishingoni