Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Na mimi naamini hivyo kuwa Mungu alinitumia tu hiyo hela....niliidownload kama yangu vileDuh inategemea Una Hali gani, Mungu ndio amekunusuru hapo
Tatizo huna chura!Kila siku nimechacha hata leo
Hakuna kuondoka...hapa hapa tunabanana naoMi kwetu kungekuwa ni kijijini haki ya nani ningerudi
Ahaaa ahaaa maisha ya geto sometimes raha sana.[emoji23][emoji23]hyo ni diet tosha sio kuchacha
Ase!!Na mimi naamini hivyo kuwa Mungu alinitumia tu hiyo hela....niliidownload kama yangu vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huwezi kuwarudisha kwa kayumba maana ni aibu kinoma!Ukishajicommit hizi shule za kulipia ujue umejitia kitanzi mwenyewe..... mi naelewa unachokizungumzia
Sent using Jamii Forums mobile app
@ipyax ukawezaje man story tam sanaMwaka jana kuna siku nimeamka asubuhi sina kitu ,wife anaumwa ,mtoto anatakiwa kula ,ndani kuna unga,maharage Ila sina hela ya mkaa. Jirani muuza mkaa ananidai buku 7 ma siwezi kwenda kukopa tena. Nilidata kabisa,sina vocha kwenye sim na hata ningekua nayo bado sikua na mtu ambaye angeniazima hata buku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]...mashost hao! DaadekiHaya maisha ukiona mtu ana kitu ana ringa muache tu..
Kuna siku nimegombana na baba mtoto
Akasusa akaondoka kama wiki
Hapo ni mjamzito
Sasa akiba ikawa imeniishia sina unga sina chumvi wala sukari,
Nikamtafuta shoga yangu tuliyekuwa tuna mtindo wa kukopeshana akaniambia mpaka saa saba atakuwa ameshanitumia 10,000
Moyo ukatawanyika na tabasamu likarejea
Nilikaa kwenye saa mpaka saa 12 jioni
Nikapiga simu yake mpaka sasa mwaka wa tano huwa hapokei simu.
Kama unapita hapa rafiki yangu T nilishasamehe usiogope kupokea simu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]...mashost hao! Daadeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kizinga cha 10,000/- kimevunja urafiki
Nilitoka home mkuu nikaanza kunzunguka tu mtaani make kelele za mtoto kulia zilikua zinaniumiza moyo.Kufika saa tano hivi nikaenda kwa rafiki yangu mmoja nikakuta mkewe yuko home.Nikamuuliza kama wana jiko la umeme waniazime,Bahati nzuri walikua na jiko dogo hawalitumii basi akanipatia.@ipyax ukawezaje man story tam sana
Voxser empire
Kweli kabisaUrafiki wa vitu kadhaa ambavyo tuliwahi kufanya pamoja...
Pesa shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka huko 😀Tatizo huna chura!
🤣🤣