Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaaaahaaa!!sio kweliiiLeo hapa.. nina buku 2 tuu yani na mabeb nimewafungia vioo shida tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaahaaa!!sio kweliiiLeo hapa.. nina buku 2 tuu yani na mabeb nimewafungia vioo shida tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye alikua hana akaona aibu kusemaaHaya maisha ukiona mtu ana kitu ana ringa muache tu..
Kuna siku nimegombana na baba mtoto
Akasusa akaondoka kama wiki
Hapo ni mjamzito
Sasa akiba ikawa imeniishia sina unga sina chumvi wala sukari,
Nikamtafuta shoga yangu tuliyekuwa tuna mtindo wa kukopeshana akaniambia mpaka saa saba atakuwa ameshanitumia 10,000
Moyo ukatawanyika na tabasamu likarejea
Nilikaa kwenye saa mpaka saa 12 jioni
Nikapiga simu yake mpaka sasa mwaka wa tano huwa hapokei simu.
Kama unapita hapa rafiki yangu T nilishasamehe usiogope kupokea simu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa!! Fanya ujibebisha thathaa!!!shoga mwenye nacho hanuniwiii!!!
Hujafulia wewee!!!una hela watu tunaendaga na 400 ya nauli tuu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Daaah...
Mimi leo bana, metoka nyumbani natembea ili kusave hela ya boda iwe ya lunch, barabarani asubuhi mida ya 12:30 asubuhi nikakutana na mwanafunzi kama wa kidato cha tatu, akanisalimia ile tunapishana akasema dada samahi! Nikamjibu bila samahani mdogo wanguu, niambie akaniambia nakuomba unisaidie elfu moja ya daftari, niongezee na hii elfu hapa( huku akinionyesha elfu ingine) ninunue counter book baba kanipa elfu na haitatosha!
Nikasisimka kwanza, nikahisi kulia! Mkononi nimeshika elfu kumi na moja! Elfu tano mbili na elfu! Nilichokifanya nikampa ile elfu tano, anununue daftari mbili!
Nikamwambia Mungu asante kwa pumzi niliyonayo! Yaaani ilibaki nauli ya kazini kwenda na kurudi na chai pekee! Namshukuru Mungu hapajatokea dharura yoyotee!
Utazidishiwa zaidi ya uliyotoa ata kama sio leo leo siku si nyingi...ila wew hujachacha hutakiw apa[emoji3][emoji3]Daaah...
Mimi leo bana, metoka nyumbani natembea ili kusave hela ya boda iwe ya lunch, barabarani asubuhi mida ya 12:30 asubuhi nikakutana na mwanafunzi kama wa kidato cha tatu, akanisalimia ile tunapishana akasema dada samahi! Nikamjibu bila samahani mdogo wanguu, niambie akaniambia nakuomba unisaidie elfu moja ya daftari, niongezee na hii elfu hapa( huku akinionyesha elfu ingine) ninunue counter book baba kanipa elfu na haitatosha!
Nikasisimka kwanza, nikahisi kulia! Mkononi nimeshika elfu kumi na moja! Elfu tano mbili na elfu! Nilichokifanya nikampa ile elfu tano, anununue daftari mbili!
Nikamwambia Mungu asante kwa pumzi niliyonayo! Yaaani ilibaki nauli ya kazini kwenda na kurudi na chai pekee! Namshukuru Mungu hapajatokea dharura yoyotee!
Yaan kabisa,,mchacho ni ile huna ata 50 na ndani hamna unga wala nnWatu hawaelewi mchacho maana yake
2015 nikiwa na mshikaji wangu mmoja, kazini kulikuwa na mambo ya ajabu hivyo pesa ilikuwa haipo.
Imefika tarehe 24 Des hakuna msosi ndani hata wa panya kula, nikamuuliza mshikaji vipi tunafanyaje na hali hii. Akasema sisi ni wanaume hatutakufa njaa kwa siku moja hivyo tuvumilie. Tukafanya maajabu jioni tukapata unga na mboga tukala.
Des 25 Asubuhi tunaamka wote kama kima hakuna mwenye wazo la kwenda kazini ila kila mmoja anawaza atakula nini, wazo likaja kuna mama mmoja ni rafiki yetu huwa anatuuzia sana mboga na muda mwingine anatukopesha kama hatuna cash, yeye alikuwa anatuita Magufuli na Lowasa kwani kipindi hicho hayo majina yaliteka nchi sana na pia muda wote tulikuwa tukiongozana na yule mshikaji.
Tulienda hadi gengeni hiyo ilikuwa saa 6 na pale tulipokuwa tunaishi walitutambua kwa sababu ya ucheshi wetu, majirani asubuhi wanauliza mbona hakunukii huko kwenu sisi hatuna muda nao njaa imeanza ku-take off kwenye runway. Wakati tunaondoka kwenda kwa yule mama kukopa mboga huku nyuma tukaacha vumbi, tuliwaambia majirani pikeni ila sisi tukirudi hapa tutafanya kufuru [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Tumesogea hadi gengeni ili tupate mboga kwa yule mama ila hatukuamini tulichokiona pale gengeni. Yule mama hakuwepo na walikuwepo tu wauza nyanya, nikiwa bado najaribu kushirikisha moyo wangu nilichokiona ghafla nikaona demu wangu anatoka salon na rafiki yake pamoja na mtoto wa huyo rafiki yake.
Demu wangu alikuwa anakaa mtaa mwingine na rafiki yake alikuwa anaishi mtaa ule hivyo alikuja kwa rafiki yake siku ile ili wajiandae kwenda beach. (sikuwa na maelewano mazuri na yeye wakati huyo)
Akaniita na kuniuliza mbona mko hapa mchana huu mnafanya nini, nikamjibu tumekuja kununua nyanya tukapike mboga , akauliza mmepika nini nikamjibu KUKU. Wakaaga na sisi tubaki na maswali tutakula nini mtegemezi wetu hayupo (yule mama).
Mshikaji akasema oooh nimekumbuka nina shangazi hapa mjini, akapiga simu kwa shangazi yake kumuuliza kama yupo nyumbani na akasema yupo akamtania mshikaji njoo leo kwangu basi. Oooh alitania pasipo na dakika hiyohiyo tukaondoka na kwenda kwake, alikuwa kajiandaa vya kutosha tulikula na kusahau shida zetu na jioni ikafika sasa turudi kulala.
Majirani wakati huo wanasubiri kishindo chetu kumbe mikwara tu hatuna hata nyanya, tulifika kila mmoja akaingia ndani kwake kimya na kulala, haujapita muda mshikaji akanigongea oya leta sufuria kubwa, nikampa kumbe majirani wametuchagia chakula kama wahanga wa kimbunga. Aisee kile chakula kilikuwa kingi tukala siku mbili kingine tukamwaga maana kilituzidi.
Chakula mseto: nyama ya bata humo humo, ya kuku, ya ng'ombe, ya mbwa, ya bundi.
Ameeennn....Utazidishiwa zaidi ya uliyotoa ata kama sio leo leo siku si nyingi...ila wew hujachacha hutakiw apa[emoji3][emoji3]
Tulishiba kuliko wale waliotupatia chakula.Hahaaa!!uswazi ndo raha yake hyooo!!hufi njaaa!!!
Sikukuu unakula vzr kama vyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishiba kuliko wale waliotupatia chakula.
Hajachacha huyuuu nyumbani iko nyingine!!Utazidishiwa zaidi ya uliyotoa ata kama sio leo leo siku si nyingi...ila wew hujachacha hutakiw apa[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujafulia wewee!!!una hela watu tunaendaga na 400 ya nauli tuu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikomaa ubishi, yule mama jana yake alileta mboga gengeni.