Siku gani ulipokea simu nyingi zaidi katika historia ya maisha yako?

Mr Bundi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
327
Reaction score
422
Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa.

Naanza mimi, nakumbuka ilikua 2013 siku ambayo matokeo ya form 4 yalitoka, aisee ile siku nilipigiwa simu karibu elfu wote walitaka kujua matokeo yao kwakuwa mimi ndo nilikua mjini basi karibu wanafunzi wote niliyomaliza nao na ambao bado hawajamaliza walikua wakinipigia simu kuniuliza kuhusu matokeo yao, tena hata wale ambao walikua hawasomi na walijijua kuwa watafeli nao walinipigia wakiuliza wamefaulu kwa division ngapi.

1619602109960.png

Juzi nilipochelewa kuweka umeme baada ya kupitia kwenye gemu ya simba kibanda umiza...
Aisee Wapangaji wana hasira nyie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku zote simu ninazo pigiwa hazizidi 5 kwa siku. Kuna muda nasahau simu ndani na kwenda sehemu fulani matembezi ya kutwa nzima, huko muda wote nawaza simu yangu napigiwa.

Cha ajabu mpaka jioni nikirudi nakuta sms tu kutoka Sportpesa wakiniambia mambo ya kubeti.
 
Eee bana siku moja nimekaa sina hili wala lile ikaingia sms ya imethibitishwa umepoke kias xxxxx kutoka xxxxx. Kucheki ni zile sms wanazotuma matepeli. Nakaamua kuikaushia ile sms. Dk mbili nikapigiwa na tapeli mwenyewe. Halooo napiga simu kutoka..... Huduma kwa wateja naongea na diwani tajiri? Nikajibu ndio. Akasema kuna mtu amekosea kutuma hela kakutumia wewe tafadhali msaidie kwenye kurudisha muamala wake. Nikamjibu najua wewe ni tapeli na hapa umeingia cha kike hakuna hata mia utapata.

Basi jamaa akakata simu. Nikaamua kumpigia ikaita hakupokea, nikapiga tena ikawa imeshawekwa black list. Nikampigia kwa kutumia namba nyingine kama mara nne hivi ndio akapokea nikamwambia ni mimi mwenye namba flani umenipigia kwa kunitapeli. Akauliza sasa umepiga nikusaidie nini? Nikamjibu leo nataka na mimi nikupotezee muda ushindwe kutapeli watu ulale njaa. Nikamwambia Leo nitakusumbua hadi ujute kunipigia.

Basi jamaa akasema unaona umenikomoa ee sasa ngoja nikuonyeshe. Bwana wewe kumbe jamaa akadraft meseji ya kitapeli akaweka namba zangu zote mbili. Dakika tano nyingi simu ilikuwa inapigwa sio mchezo. Sms ndio balaaa.. Ilidumu kama wiki nzima nasumbuliwa na simu na sms. Nikaamua kuweka laini kabatini kwa muda wa wiki tatu ndio nikairudia tena. Nahisi hii rekodi haijawahi kuvunjwa sio kwa simu zile.
Ni hayo tuu Mr Bundi
 
Mwaka 2016 namaliza form four nilipigiwa simu sana maana siku hiyo kama kawaida ya siku za matokeo mtandao ulikuwa slow ila nilikuwa nakaa na PC mara nyingi alafu wanajua mimi na mtandao tuna urafiki. Nilipigiwa simu sana siku hiyo bahati nzuri nilikuwa nishayapata kutoka hapa JF nikawatumia.

Huwa sipigiwi simu ovyo kwanza nina namba chache mno. Nikiacha simu siku nzima nikakuta missed calls zaidi ya tatu nashtuka.
 
Eee bana siku moja nimekaa sina hili wala lile ikaingia sms ya imethibitishwa umepoke kias xxxxx kutoka xxxxx. Kucheki ni zile sms wanazotuma matepeli. Nakaamua kuikaushia ile sms. Dk mbili nikapigiwa na tapeli mwenyewe. Halooo napiga simu kutoka..... Huduma kwa wateja naongea na diwani tajiri? Nikajibu ndio. Akasema kuna mtu amekosea kutuma hela kakutumia wewe tafadhali msaidie kwenye kurudisha muamala wake. Nikamjibu najua wewe ni tapeli na hapa umeingia cha kike hakuna hata mia utapata.
Basi jamaa akakata simu. Nikaamua kumpigia ikaita hakupokea, nikapiga tena ikawa imeshawekwa black list. Nikampigia kwa kutumia namba nyingine kama mara nne hivi ndio akapokea nikamwambia ni mimi mwenye namba flani umenipigia kwa kunitapeli. Akauliza sasa umepiga nikusaidie nini? Nikamjibu leo nataka na mimi nikupotezee muda ushindwe kutapeli watu ulale njaa. Nikamwambia Leo nitakusumbua hadi ujute kunipigia.
Basi jamaa akasema unaona umenikomoa ee sasa ngoja nikuonyeshe. Bwana wewe kumbe jamaa akadraft meseji ya kitapeli akaweka namba zangu zote mbili. Dakika tano nyingi simu ilikuwa inapigwa sio mchezo. Sms ndio balaaa.. Ilidumu kama wiki nzima nasumbuliwa na simu na sms. Nikaamua kuweka laini kabatini kwa muda wa wiki tatu ndio nikairudia tena. Nahisi hii rekodi haijawahi kuvunjwa sio kwa simu zile.
Ni hayo tuu Mr Bundi
Hii kali
 
Kwa hii mkuu umekuwa man of the mech
 
Ni pale nilipotuma text "Leo nipe kwa mpalange " kwa mama mchungaji wangu bahati mbaya
 
Back
Top Bottom