Mr Bundi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 327
- 422
Hebu tujalibu kupiga soga mbili tatu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tuambie siku ambayo ulipigiwa simu nyingi na watu tofauti kuliko siku nyingne zote na sababu ya kupigiwa.
Naanza mimi, nakumbuka ilikua 2013 siku ambayo matokeo ya form 4 yalitoka, aisee ile siku nilipigiwa simu karibu elfu wote walitaka kujua matokeo yao kwakuwa mimi ndo nilikua mjini basi karibu wanafunzi wote niliyomaliza nao na ambao bado hawajamaliza walikua wakinipigia simu kuniuliza kuhusu matokeo yao, tena hata wale ambao walikua hawasomi na walijijua kuwa watafeli nao walinipigia wakiuliza wamefaulu kwa division ngapi.