Siku hii Dream itakapotimia: JF Members SACCOS LTD

Updates:

Kwanza, naomba kuwashukuru mapenzi wanaounga mkono mchakato huu na wale wanaonyesha dalili za kuunga mkono safari hii. Ahsanteni sana kwa niaba ya JF Members SACCOS.

Nitakuwa naweka updates kwa kadri ninavyozipokea na kuona zinafaa, lengo ni kuonyesha muelekeo wa hili wazo. Hata tukianza wawili tutajaribu kwa nguvu zetu zote kuona hili linafika wapi.

Kuna member mmoja ameniuliza inbox. Je, ni lazima ID yake itambulikane kwa umma wa JF?

Nikamjibu:
Nionavyo mimi kwa sasa (japo sijui wanachama wengine watakuja kuonaje baadaye) ni ngumu ku monitor ID za wanaJF. Naona tu maadam mtu ni mteja wa JF kwa maana ana visit JF awe kama member ama guest huyo tayari anafaa kuwa mwanaSACCOS
Yeah I said it yesterday!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates:

Kuna mdau kaja na hesabu kali sana. Yeye, kama yeye anasema kuwa manage watu wengi ni tatizo kwa namna fulani. Nimemtoa shaka kuwa wala si tatizo maana watu wanakuwa managed kama wanunua hisa kwenye mabenki wanavyokuwa managed.

Lakini yeye katoa plan moja kali sana.

Anasema hivi:
Ili hiki kitu kiweze kwenda vizuri sana watu wasisumbuane ni lazima wawepo watu wenye maamuzi mazito, hao ndo watakuwa na commitment kubwa na drive kubwa kufanikisha jambo.

Nilipomuelewa nami kichwani kikaja wazo kama hivi maana of koz yupo sahihi.

Kwamba,
Kwa mfano, badala ya members 400,000 kila mmoja kutoa sh 5,000/- ambapo patapatikana sh. 2,000,000/- (bilioni mbili).

Tunaweza kufanya members 20,000 kila mmoja kutoa sh. 100,000/-

Yaani 20,000 x sh. 100,000/- = sh. 2,000,000,000/-. Hapa KEY members watakuwa wamepungua sana.

Ama, hata members 10,000 kwa kila mmoja kutoa sh 200,000/- sawa na sh. 2,000,000,000/-

Ama, members 5,000 kila mmoja kutoa sh. 400,000 sawa na sh. 2,000,000,000/-

Ama members 2,000 kila mmoja kutoa sh 1,000,000/- sawa na sh. 2,000,000,000/-

Tunaweza kusema sh 1,000,000/- itolewe ndani ya mwaka mmoja, kwamba kila mwezi member atoe sh 83,333.33/- kwamba ndani ya mwaka atakuwa ametoa sh. 1,000,000/-.

Halafu, hawa members 2,000 kunatengenezwa vikundi 2,000 ambapo kila member hapa atakuwa anawajibika kusimamia kikundi chake. Kunaweza kuwepo kikundi cha Temeke, USA River, Mabatini, Nyegezi, Area D, nk. Hiki kikundi sasa ndio kinakuwa kinawasajili wanachama wake kwa jinsi inavyofaa kwa utaratibu uliowekwa na JF Members SACCOS Limited. Nao kama kikundi kinaendesha business zao kwa jinsi waonavyo ina faida na msimamizi mkuu anakuwa yule KEY member.

Hao, watakaosajiliwa ndo hao JF visitors (guests and members) ambapo sasa watakuwa chini ya usimamizi wa yule KEY member founder wa JF Members SACCOS.

Mfano:
Kikundi cha Maghorofani kina wanachama 20. Nao wana mtaji wa sh 20,000,000/- (sio mchango bali mtaji kutoka JF Members SACCOS). Nao wakakopeshana labda kwa riba ya 5% kwa mwezi. Riba lazima iwe ndogo ili kuwezeshana. Ama wakafanya biashara yeyote watakayoona inafaa.

Nako JF Members SACCOS faida inayopatikana inashushwa kwenye vikundi vile vyenye wanachama, maana kazi kuu ya hii SACCOS ni kuhakikisha ustawi wa wanachama.

Hivyo kuna mawili mazuri hapa: Moja, kikundi kinafanya biashara na pia kuna gawio kutoka JF Members SACCOS kutokana na biashara za SACCOS.

Tunaweza pia kuamua, kila biashara ya kikundi faida inayopatikana sehemu fulani (nje ya gawio la kawaida) arejeshewe yule KEY member ule mchango wake wa sh. 1,000,000/- founding of the JF Members SACCOS Limited.

I think this is more superb interms of management!
 
Hata tukiwa laki moja tu, bado ni pesa ndefu Sana Sana. We can do anything

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako inataka kuingilia uhuru wa jukwaa.
Huwezi kuwa mwana hisa ktk uwekezaji kama huu bila kuwa na taarifa sahihi za wadau.
Nahisi unachotaka ni identity .
Dhumuni la JF ni platform huru ya mawazo mtambuka.
Be warned!
Liache jukwaa libaki kama jukwaa tena huru.
Lakini kuligeuza jukwaa bank, haileti afya, it's a kind of threatening tool I guess.

Unadhani kwa nini bank zina disclose taarifa za wadau wao kwenye vyombo vya kiutawala?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama nimekuelewa. Siamini pia kama majukwaa haya yalianzisha kuwe kama kijiwe maalum cha kupigia porojo tu, kwamba kusiwe na namna nyingine ya kunufaika nayo wanachama
 
Una uhakika kuna member laki 4 ambao ni active? Kumbuka kuna walio fariki na pia kuna multiple ID.
 
Updates:

Kuna idea nyingine imekuja kichwani na moyoni.

Kwamba,
Ili ku raise some funds the prospective JF Members SACCOS Ltd inaweze kujenga business partnership na biashara zinazo exist na kufanya vizuri.

Inakuwa hv:
Yule mwenye biashara, tunamsaidia kunadi bidhaa ama huduma zake hapa jukwaani na kuwaomba wanaJF wanunue kwa yule mwenye uhitaji.

Percent fulani ya yale manunuzi (yaani commission) tunapewa JF Members SACCOS Ltd. Tunafanya hivi kwa kila partner na records za commission zinatunzwa.

Mfano leo kuna mwanaJF atanunua nguo, ama atanunua viatu, ama simu, nk. Manunuzi haya anayafanya kwenye maduka ambayo tuna partnership nayo ili SACCOS yetu iweze kupata commission.

I think hii ni rahisi zaidi ku raise funds toka kwa members wetu.
 
Sidhani kama nimekuelewa. Siamini pia kama majukwaa haya yalianzisha kuwe kama kijiwe maalum cha kupigia porojo tu, kwamba kusiwe na namna nyingine ya kunufaika nayo wanachama
How can the unknown do banking then?
How can they access financial services with safe assurance.
Do JF members trust each other now and then?
This is a new culture.
New policy requires, saccos registration by BOT.
Does it not requires real identities of the founding members.
My quetions go unanswered, doesnt they?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How can the unknown do banking then?
How can they access financial services with safe assurance.
Do JF members trust each other now and then?
This is a new culture.
New policy requires, saccos registration by BOT.
Does it not requires identities of founding members.
My quetions goes unanswered, doesnt they?

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you ok?
 
Updates:

Wananchi tunaungana kuchangia serikali kwa njia ya kodi kupitia makusanyo ya TRA na ada mbalimbali. Michango hio ndio hulipa watumishi wa umma, na viongozi mbalimbali wa umma pamoja na kutoa huduma mbalimbali.

Kitakachotushinda kuchangiana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya ustawi wetu wenyewe ni kitu gani? Tujitambue.
 
fact

Hili na wazo zuri sana mkuu, ila nadhani tuangalie utayari wa mtu.
Maana wakishapatika watu wachace lakini walio tayari kufanya jambo, basi hapo hapana kitu kinashindikana.

So mi nadhani kwa kuanzia kwanza tukutane wale tulio tayari kufanya hii kitu, then baada ya hapo ni kuendelea na mapambano.
Binfsi nipo tayari kwa ajili ya hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom