Siku hii ndio nilishuhudia, niliamini na kuthibitisha kwamba mapenzi hayana wala hayajali umri

Mkuu Kama unagombea naomba unicheki nina wazo kwa ajili ya mbunge

Uwe chama kinachokubalika mjini au kijijini keep in touch tuwasiliane mwakani mapema

Nataka tufanye mkakati wa kuchukua jimbo Ahsubui
Okay,
Let me file you in my political notebook and we will see how we can position as early as possible 🐒
 
kwanza sijaumia kwasabb nilikua na malengo, nia na kazi yangu muhimu sana kwenye harakati zile 🐒

lakini pia binafsi katika utoto ninajifunza, kuelewa na kufahamu mambo mengi makubwa na muhimu sana....

mathalani nisingeaandika uzi huu nisingefahamu wala kujua kama una uelewa mzuri juu ya mambo ya mahusianao lakini una mihemko ndani yako.

nisingejua kabisa kama unaogopa kinyani kiasi hicho 🐒

Na zaidi ya hapo,
Pale ninapopo pata ugumu, uzito au kukosa uelewa wa jambo fulani, hua namwambia Mungu anirahisishie, anionyeshe njia na kunifundisha kama mtoto mdogo sana nisie elewa chochote ili hatimae niweze kujikwamua mahali nilipokwama 🐒

Imeandikwa,
waacheni watoto wa dogo waje kwangu....

kuwabeza na kuwadharau watoto wa dogo ni kufuru 🐒
 
Mkuu hayo madeal mbona Lucas wangu humpi? Tunataka jimbo na sisi
relax,
the time for every hardworking gentleman is coming, it is around the corner. it is the matter of time tu 🐒
 
Congrats!! So in your credence you're already reached in your final destination??
 
Tofautisha kati ya utoto na mtoto/watoto. Ndio maana narudia acha utoto
 
Mkuu umejiandaaje kupambana na incumbent? Maana huwa wana muscles kuliko wewe.

Unaweza kujiona una wafuasi wengi kwa macho, ila sasa in reality watu wana mikakati mingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…