OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mwanaume "mwenye kila kitu" kuna mtihani kidogo kumjua mwanamke mwenye mapenzi ya kweli. Wanawake wengi mapenzi kwa vitendo ni feeling experession na availability yake kwako, mbali na hayo basi ni kukupa dudu. Tofauti na mwanaume mwenye ziada nyingi za kuonyesha kukupenda.
Sasa kwa mwanaume mwenye uwezo utahisi huyu kufuata vitu, kafata uhakika wa maisha. Ndio maana mtu asiye na kitu hawezi kubambikizwa mimba.
Basi wakuu siku hiyo yule dogo mrembo alikuwa romantic sana kwangu, tofauti na siku zote ambapo alikuwa ananikazia. Hata k nilikuwa nakula kwa mbinde. Kila baada ya saa anapiga simu, anasema wewe mwanaume umeniroga. Haiwezekani kila saa nakuwaza wewe. Nami nampimia tuu, kwani kumwambia I love you too ni bei gani.
Hakufika mbali, ilipofika saa 6 usiku akasema ukweli wake. Kwamba hakuwa amekula toka asubuhi, hana hata mia. Akaniomba anitumie namba ya boda nimnunulie chakula atakufa njaa. Nilifanya hivyo........
Baada ya hapo nikapata majibu kwa nini alikuwa romantic sana siku hiyo. Alikuwa kuuwawa. Nikaona ngoja nimpe muda wa kutosha nitajua tu kama ni kweli au anafata vitu. Haikuchukua hata mwezi nikamdaka na meseji anajibebisha. Nikafurahi sana, nikampiga chini pamoja na kuomba misamaha ya machozi.
My Take
Ni kwa mwanaume mwenye uwezo ni ngumu kidogo kuthibitisha upendo wa kweli kwa mwanamke. Atleast kwa anayejitafuta utasema pamoja na kutokuwa na kitu lakini demu kukomaa humohuno