Siku hizi Flora Mbasha anaitwa madam Flora

So far hata ingekuwa mimi nisingetumia ubini wa mume wake ambaye ni Emmanuel Mbasha. It is fine.
 
Embu jadili vitu vya msingi achana na maisha ya watu, Hivi ni kweli Gwajima anafufua wafu mbona hayo matangazo yamezid kama ni kwel hili suala liangaliwe kwa makin isije kua ni ajabu lingine
 
Embu jadili vitu vya msingi achana na maisha ya watu, Hivi ni kweli Gwajima anafufua wafu mbona hayo matangazo yamezid kama ni kwel hili suala liangaliwe kwa makin isije kua ni ajabu lingine
muhun Yule
 
wanadamu kama huyo dada ni matunda ya kiria. imefika kipindi wanawake wana dharau sana, hawana suluhu, hawataki suluhu, wanasema wanataka haki sawa, hawataki kusubmit kwa mwanaume ni kiburi tu. hana lolote huyo kwa sasa, amwombe Mungu arudiane na mume wake ama la atajikuta anazini tu na uimbaji wake hautakuja kuinuka.ameanika ndoa yake kwa watz wote hadi vya chumbani kwao, kwanini hakufanya haya mambo nyumbani akaamua kuanikana na kusambaratishana kwenye magazeti? ili apate umaarufu? sasa aliyoyavunja kuyaunganisha sasaivi ni ngumu, ataishi kwa kutangatanga hivyohivyo.
 
Ana mtoto ambaye sio wa mbasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…