lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Nimealikwa leo kwa kupewa kipeperushi ila nimeshangaa kuona jina la flora lilivyoandikwa sio kama zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye nayo aje atuambieFanya uchunguzi wa kutosha ili utupashe habari kamili...
Munga huwa anatenganisha watu?So far hata ingekuwa mimi nisingetumia ubini wa mume wake ambaye ni Emmanuel Mbasha. It is fine.
Matendo yetu ndiyo yanatutenganisha ila siyo kusudio la Mungu.Munga huwa anatenganisha watu?
muhun YuleEmbu jadili vitu vya msingi achana na maisha ya watu, Hivi ni kweli Gwajima anafufua wafu mbona hayo matangazo yamezid kama ni kwel hili suala liangaliwe kwa makin isije kua ni ajabu lingine
Ana mtoto ambaye sio wa mbashawanadamu kama huyo dada ni matunda ya kiria. imefika kipindi wanawake wana dharau sana, hawana suluhu, hawataki suluhu, wanasema wanataka haki sawa, hawataki kusubmit kwa mwanaume ni kiburi tu. hana lolote huyo kwa sasa, amwombe Mungu arudiane na mume wake ama la atajikuta anazini tu na uimbaji wake hautakuja kuinuka.ameanika ndoa yake kwa watz wote hadi vya chumbani kwao, kwanini hakufanya haya mambo nyumbani akaamua kuanikana na kusambaratishana kwenye magazeti? ili apate umaarufu? sasa aliyoyavunja kuyaunganisha sasaivi ni ngumu, ataishi kwa kutangatanga hivyohivyo.
We ni msafi kiasi ganimuhun Yule
ni wa nani, plus ushahidiAna mtoto ambaye sio wa mbasha
Sijui sasani wa nani, plus ushahidi
kias cha katiWe ni msafi kiasi gani
Unapimaje dhambi zake?kias cha kati
Natumia thermometerUnapimaje dhambi zake?
wachungaji na manabii wa uongo tutawajua kwa matendo yaoUnapimaje dhambi zake?
Barometer ndio ingefaa zaid[emoji15] [emoji15]Natumia thermometer