Siku hizi hawajui kusema hapana

Siku hizi hawajui kusema hapana

Ila mkuu kupeana namba leo na kula leo ina ukakasi sana!!
hakuna jipya hata ukicheleweshewa mkuu. Akijaa ishi mambo mengine yaendelee.

Mimi siku hizi nikibeba namba nikimwaga sera zikapita siku chache namsahau.
 
Ulikua wapi,hizi mbususu siku hizi ni mafungu unabeba we bado unatongoza.
 
Siku hizi wanajua sokoni bidhaa zimejaa na supply imekua kubwa kuliko demand wanachofanya wanaforce waendelee kuwa kwenye cycle

Note:

Anza na dose ya Azuma siku mbili kabla
 
N
Moja kwa moja kwenye mada.

Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu mpaka unamchukia unampotezea mwenyewe ila sikuhizi ukimwangalia tu mdada ukizubaa anaweza hata akakutongoza mwenyewe!

Tatizo liko wapi? Wapo wengi sana? Ugumu wa maisha? Ny*ge zinawasumbua? Pepo la ngono limewavaa (maana hata huko kwa manabii wanawake ndio wanaojazana). Kwakweli ni shida!

Kwasasa narindima live kutokea hapa Mwamapuli.
Ndiyo maana UTI ,FANGASI NA PID zinazunguka kwa speed sana hadi huku kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom