Siku hizi kila mtu anataka kuwa developer, yaani any form of developer! kwanini unajisumbua?

Elion Musk je? Akina facebook je?

Hao wote wangekaa wamngoje "mjuzi" leo wangekua wapi?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kubali ukatae hii ni 2020, kila kitu kipo online. Usiumie kuona mtu anatengeneza website wakati "wajuzi" tupo.

Kama kweli unaipenda hii nchi basi ulitakiwa uwapongeze kwanza kwa kuipenda technology pili kwa kuwa na moyo wa kujifunza kitu ambacho hata sisi "wajuzi" hatuna.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Issue ni muda na mafanikio, kama unaweza fanya hivyo in time katika mazingira yakimaskini haina shida

Sasa kama wewe uliweza kufanya hivyo yeye atashindwaje?

Yani hapa unasema haina shida alafu kwenye uzi wako wa awali ulikua hutaki watu wafanye hizo kazi bila kushikisha "wajuzi".

Ni lazima tubadilike!!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Issue ni muda na mafanikio, kama unaweza fanya hivyo in time katika mazingira yakimaskini haina shida
Kwa aliedhamiria muda upo na mafanikio anaweza akapata kumaliza project yake tena sio kwamba eti mazingira ya kimaskini. Mtu kama anaona bora asomee mwenyewe basi Youtube/Google ni resources nzuri tu.

Upepo wa Pesa kanijibu kama kwenye quote
 
Nilivomfahamu mie ni kuwa hataki new comers anahofia kazi alokuwa apewe yeye ataikosa.
 
Kwa aliedhamiria muda upo na mafanikio anaweza akapata kumaliza project yake tena sio kwamba eti mazingira ya kimaskini. Mtu kama anaona bora asomee mwenyewe basi Youtube/Google ni resources nzuri tu.

Upepo wa Pesa kanijibu kama kwenye quote
Sawa
 
Okay, nanyamaza
 
Ondoka bongo uende wanapojali devs au ukiwa bongo jiajiri. Kama developer wa miaka zaidi ya 10 nakwambia hii field kama unalala na chini ya 15mil kila mwezi una matatizo. Acha kutarget watu wa vikazi vya laki laki huku zipo kazi unapiga unaingiza 50m+ hadi 500m kwa kazi moja
 
Mkuu sikumshambulia mtu wala sikumkataza asome haya mambo wala sikuwa na shida na pesa. Ni wazo zuri ambalo niliandika kifupi baada ya kuona kila mtu anakuja na idea halafu kuna uwezekano wa kupata solution ya haraka mtu huyo ukiangalia ana familia na umri umeenda why ujiangaishe na vitu ambavyo unaweza fanyiwa na mtu mwingine wakati huo unaendelea na mambo yako binafsi labda kama mtu anaishi kwao na anategemea wazazi wake otherwise inaweza chukua muda mrefu kujifunza uku ukichukua hatua.

Sasa kuna jamaa hapa wanafikiri nilikuwa nawakataza niliona mazingira hayaruhusu kwa watu kadhaa na ndio maana mashambulizi hapa.
Anyway sikuandika sana na tabia ya kuandika sana hapa.
 
acha roho mbaya wew nakutabiria utakuja kuwa mwanga kabisa kwa roho mbaya ndo nyiny mtu akifanya kitu ofsini mnamwanzia fitna au hata kumroga
 
Kweli Kaka

Unaweza kuwa umenigusa Kwa upande mwinginee.

Je inakuwejee mfano Mimi
Nataka kuwa Web designer

Sasa nina profenal ktk Advance in Excell

Pamoja na Adobe.

Sasa Kwa nataka nizidi kujikita na fani ya Web.
Kama kila mmoja alizaliwa akiwa hajui chochote,basi hakuna kinachoshindikana kwa mtu kujifunza kitu kipya ambacho hakijui. Juhudi binafsi na kutokata tamaa vinaweza kumfanya mtu akawa vizuri tu.
 
Elion Musk je? Akina facebook je?

Hao wote wangekaa wamngoje "mjuzi" leo wangekua wapi?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
hata huyo mark zugberg hakuwa peke yake ingawa alisoma programming, kasome historia ya facebook vizuri , you will never walk alone. Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz, na Chris Hughes hawa ndiyo watu ambao Mark Zugberg alikuwa nao chumbani miaka 16 iliyopita. Wewe my ndugu unayetaka kufanikiwa peke yako sawa, soma kwa bidii ila utachelewa sana, YOU CAN'T BE THE COMPLETE PLAYER NEVER KAMA HAKUNA WAKUKUSAIDIA UWE HIVYO
 
IF YOU ARE SERIOUS ON WHAT YOU NEED, YOU HAVE A DEBT TO PAY OFF; USIKATE TAMAA KUNA WAKATI GHARAMA ITALAZIMIKA, BINAFSI NIMESTOPISHA MASUALA BECAUSE OF MONEY I HAVE A PLENT OF IDEAS...............PAMBANA MWAMBA
 


Ushuhuda binafsi:

- Baada ya kulipa watu kibao kunitengenezea website na kulipa seo service.....

- Baada ya kuwaamini watu wanisaidie ku register domains and hosting kwa website yangu ya biashara......

- Baada ya Kuwa mwaminifu kwao etc, na kugundua hawapo loyal sana na kujali biashara za watu:

Hakikisha:

- Unakuwa very selective kumpa mtu hizi kazi, na uwe na General knowledge, they will use difficult terms to communicate complex things and do nothing.....

- Ukimpata mtu wa ukweli mlipe vizuri na umjali sana maana ni wachache sana waaminifu, and you have to pay them a good money.

- jitahidi uwe na basic knowledge ya haya mambo ili uweze kukagua trend na maendeleo ya online projects Zako, usiwe wa kuhadithiwa tu.

- Kuna watu Tanzania wazuri sana kwa hizi shughuli, kuna Dogo nimemjua hapa Jamii Forums, he is simply the best, he knows his staff, great attitude and very kind....
 
Nikipata muda nitarudi tena, kukujibu naona hauelewi hapa.
Jamaa unajifanyaga unajua kinoma software development kisa tu umejua kutumia numpy as np za Python.

Kuna uzi nimeona unaziponda C/C++ eti zimepitwa na wakati, watu watumie Python.

Yaani wewe unajionaga ndio developer mkali kuliko wote Bongo!
 
mathsjery ana hulka ya ubinafsi. Nimefatilia nyuzi zake humu yaani nimeshangaa sana.
Developer gani unakua selfish kiasi hiki?
Ni namna ninavyo zungumuza kwa ujumla ukali kwenye vitu serious na wanaonifahamu wanajua mimi si mbinafsi nisamehe sana.

Je, unatatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…