Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hujaelewa flow ya mazungumzo yetu umeishia kudandia treni kwa mbele. Yani kama ni swali la pepa hapa ungekua OP!hata huyo mark zugberg hakuwa peke yake ingawa alisoma programming, kasome historia ya facebook vizuri , you will never walk alone. Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz, na Chris Hughes hawa ndiyo watu ambao Mark Zugberg alikuwa nao chumbani miaka 16 iliyopita. Wewe my ndugu unayetaka kufanikiwa peke yako sawa, soma kwa bidii ila utachelewa sana, YOU CAN'T BE THE COMPLETE PLAYER NEVER KAMA HAKUNA WAKUKUSAIDIA UWE HIVYO
Na developers hawatakiwi kuwa wachoyo. ndio maana kuna github na nyenginezo mtu anaweka codes zake ukitaka unacopy na kupaste, yaani mwendo wa kushare tu. OS kama za linux ni open source, kila mtu anaweka lake na codes zipo open.mathsjery ana hulka ya ubinafsi. Nimefatilia nyuzi zake humu yaani nimeshangaa sana.
Developer gani unakua selfish kiasi hiki?
KWA SABABU NDIVYO ULIVYOELEWA PIA...UKIAMINI UNAWEZA UKO SAHIHI, NA UKIAMINI KUWA HAUWEZI UPO SAHIHI PIA, AS A MAN THINKETH IN HIS HEART SO IS HEHata hujaelewa flow ya mazungumzo yetu umeishia kudandia treni kwa mbele. Yani kama ni swali la pepa hapa ungekua OP!
Hapa Unakosea ...Hili swali huwa sijibu, naamini ninavyoandika so far unahitaji huduma come I'll show you.
Hii ni Muhimu SanaSasa mtu hujafanya project yoyote,unataka watu wakuamini wakupe pesa zao,elezea mambo ambayo umeishafanya,maujanja gani,Maajabu gani umefanya mpaka tukupe pesa