BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake
Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan karibia wote wamepita). Hapo mwamba hajui maana sio mtembeaji kiviile mda wote yupo ofisini kwake
Baadhi ya watu wakaniambia nimfikishie taarifa (ila sikuweza kumwambia maana jamaa anamkubali balaa)
Kuna ambao walimfikishia ila jamaa hakuelewa. Sasa dada kapata ujauzito na anadai mwamba ndiye mhusika (hapo na jamaa ameshaanza kuamka kuwa anachezewa mchezo)
Kaja kuomba ushauri nikamchana yote! Nikamuambia kuwa asithubutu kukubali maana kwanza mwanamke amshamdhalilisha vibaya mno huko mtaani kwa kutembea na watu
Sasa juzi kati mamake na bibi mtu walimfuata jamaa flani(ni mumewa mtu) wakidai hela ya huduma kwa mjamzito na hapo ujue mjamzito akiulizwa anasema mimba ya mshkaji.
Kwa mimi nilimuambia kuwa hapo anaibiwa kiingilio laivu kwakuwa yule manzi katembea na wengi so hajui mimba ni ya nani (so nkamshauri afanye mambo yake...itajulikana mbelen)
Washkaji kuweni makini, kubambikiwa mimba siku hizi imekuwa ni kawaida saaaaaana.