Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sio mm detective,mm ndio master mwenyewe. Ela ninazo hutoi kizembe zembe. Utawakilisha vielelezo kama vile unaomba mkopo benki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sio mm detective,mm ndio master mwenyewe. Ela ninazo hutoi kizembe zembe. Utawakilisha vielelezo kama vile unaomba mkopo benki.
Hahaha sihami mkuu kuna raha sana.Mzee wa facebook kama kawaida yako
Hahahaha umenikumbusha mmoja yupo Gongo la mboto kaniambia ana shida ya elfu 3 nikamwambia sipo nchini ningekupa, nikamwambia lakini nipe namba zako nikirudi ntakutafuta. Hahaha kanikaushia siku ya pili namsalimia akanambia hataki salam ya mtu bahili dah! Niliishiwa nguvu. Akaniblock.ukiwanyima wanakuita mbahili kumamaeee.zao
Hahahaha labda nimsake messenger nikupe jina lake.Umeombwa elfu 5 unalia hivyo? Nipe namba yake nikusaidie kuhudumia mgodi
Hahahaha, leo mmoja kaniambia hilo swala la pesa nikamuuliza upo wapi? Kanijibu yupo Zanzibar Chukwani. Nimemwambia njoo Amani uchukuwe kanijibu kama sitaki basi, nimemwambia wewe ndo hutaki pesa na hauna shida kanikaushia mpaka sasa.Dawa ni kumwambia njoo uzifuate home .
Mimi hata sielewi maana hata kwenye kamusi sijapata maana yake.nini maana ya kudanga ?
Shem ndo uache hiyo tabia ukiwa mkweli Wallah hata laki nakupa na wala sikuombi hata unipigie picha chupi.Kumekucha ushakutana nao facebook kwako malalamiko unatuletea sisi
kuipigia kura ccmnini maana ya kudanga ?
Hayo maneno waambie watoto wenzio wa uko fb mm najua kutafuta hela yangu mwenyeweShem ndo uache hiyo tabia ukiwa mkweli Wallah hata laki nakupa na wala sikuombi hata unipigie picha chupi.
Nakukubali jambazi langu ah ah ah ah ahMimi huwa nasema nipo kituo cha polisi nimekamatwa kwa kosa la kutupa takataka bahati mbaya nitumie elf 50 nitoe hapa faini nikiwapigia wanaume 10 haraka haraka nina sh ngapi?
anhaaaa in dulavani voicekuipigia kura ccm
nmekumiss mamaHayo maneno waambie watoto wenzio wa uko fb mm najua kutafuta hela yangu mwenyewe
utengwe we jamaa hahahaSiku hizi wakija nawageuzia ramani.View attachment 803037
nmekumiss mama
zangu mbaya nmetumbuliwaMm pia za wewe
zangu mbaya nmetumbuliwa