Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ni sahihi kabisa. Bandani ninakoangaliaga mpira,mechi ya Arsenal Vs Liverpool ya jana hata 20 hatukufika. Ya West Ham vs Man U tulikuwa 6 tuBaada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya.
Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji wengi huku vibandani.
Coastal Union vs Yanga inaweza ikajaza ukumbi halafu huku Arsenal Vs Liverpool watazamaji wanahesabika ukumbini.
Sokoni DStv kwasasa ana hali mbaya, Watanzania wanapenda ligi yao inayooneshwa AzamTv kuliko ligi za Ulaya zinazooneshwa na DStv.
AhaaKweli kabisa
Mechi nyingi za Ulaya zimejaa formation kuliko Raha za mpira zile zama za Gaucho Zizzou n.k hazipo unaenda kuangalia mpira ambao anauelewa kocha na wachambuzi we mtazamaji hupati kabisa rhythm ya mchezo
Hii sijaielewa mkuu manake nalipa kila mwezi elfu 65Watu wanamiliki "DStv poli" majumbani 50,000/= premium package ya miezi sita!
(Msisitizo ni hapo kwenye bold) Tusitafutane PM!
Endelea kulipa na kuisaidia serikali mapato....!Hii sijaielewa mkuu manake nalipa kila mwezi elfu 65
Kuna ukweli kweny hili. Mitaani mechi za kibongo hasa za simba na yanga zinajaza sana zaidi hata ya Arsenal vs Man u au Man City! Kinachotokea ni kilekile kilichotokea kwenye mziki wa Marekani hapa nchini.Baada ya Azam tv kuamua kuonyesha kila mechi ya Ligi Kuu ya NBC kwasasa Vibanda umiza vinajaza zaidi mechi za ligi ya NBC kuliko zile za Ulaya.
Mechi za Ulaya huko siku hizi hazina watazamaji wengi huku vibandani.
Coastal Union vs Yanga inaweza ikajaza ukumbi halafu huku Arsenal Vs Liverpool watazamaji wanahesabika ukumbini.
Sokoni DStv kwasasa ana hali mbaya, Watanzania wanapenda ligi yao inayooneshwa AzamTv kuliko ligi za Ulaya zinazooneshwa na DStv.
Siku hizi Kuna kina deep ten na false nine mara inverted winger Sasa haya wengine tunakaa na kungoja goli liingie tushangilieAhaa
Umenikumbusha mpira wa zamani kipindi nacheza mpira. Utasikia kauli ya wajita " bhuma imbele" yaani kipa wewe tupia mbele tutajuana hukuhuku🤣🤣
Siku hizi mpira wa aina hiyo haupo tena.
Inverted winger duu nimecheka sana,Siku hizi Kuna kina deep ten na false nine mara inverted winger Sasa haya wengine tunakaa na kungoja goli liingie tushangilie
Kwa nini AFCON hatufanyi vizuri??Ligi yetu imekuwa sana, Mimi nilikuwa mnazi wa Eplnila Sasa hivi akili IPO ligi kuu NBC, hata mechi za kina ken gold zinaangaliwa vizuri kabisa
Kwa nini AFCON hatufanyi vizuri??Kweli kabisa