Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Hili suala linazid kukua kila siku movies mbaya zinaongezeka kwa kasi kubwa sana, Movie nyingi siku hizi zina agenda za ajabu hadi unashangaa hivi waliwaza nini kutengeneza huu upuuzi, hapo chini nimekuwekea list ya baadhi ya movies ambazo nimeziona ziko hovyo mwaka huu 2021.. unaweza kuongezea na yako.
Hollywood imeishiwa ideas mpya inaamua kutengeneza remakes ambazo zinaharibu heshima kwa original movies, mtazamo wangu mpaka sasa muhimili wa Hollywood unayumba na uko unatetewa na watu wachache ila nao wakitikisika tu.... basi hamna kitakachosalia na tutabakiwa na movies ambazo sio decent bali ni matatizo tu. Hii inaenda mpaka kwenye Tv- series kwanza huko ndio balaa
List ya Movies ambazo ni disappointing ndani ya huu mwaka 2021
1. Snake Eyes
2. Venom 2
3. Eternals
4. The Matrix 4
5. Resident evil 2021
6. Coming to America 2
7. Suicide Squad 2021
8. Thunder Force
9. Home sweet Home Alone
10. Army of the Dead
11. .......etc
Na kibaya zaidi hapo hizo nyingi ni muendelezo wa Movie za mwanzo ambazo zilikuwa classic