Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

Marvel wapo zao wanapanga mabilioni.
Marvel studio ndio definition ya Hollywood that's absolutely fact
 
Fast and furious nimegoma kuiangalia, red notice sio mbaya sana ila masikhara mengi kwenye mambo serious.

Escape room 2 wamenibamba. Weekend hii naangalia Don't breathe 2, sidhani kama watanidissappoint!
Ni kali Dont breathe 2
 
Venom 2 ni kali japo ina comedy,Resident evil mm sjaona kama inashida japo story imekuwa ya mdada mwingine japo Kisa ni kile kile cha umbrella coorperation

wale ndio character wahusika kama kwenye Game akina Redfield wenyewe, Leon
 
Nilifikiri peke yangu ndiye nimeona "The Matrix Resurrected" imeboa.

I was like "Where Fishburne at?"

Ila big budget movie makaratee mengi kama kawa.

What do you all think about "No Time To Die"?
'No Time To Die' is great mkuu. They gave him (Craig) a perfect send-off!
 
Kabisa yaani Matrix ya mwaka huu ilibid iwe kama ya 2030 hao wakatengeneza kitu simple. Keanu kasema hata fight scene hawaku choreograph kwa mda mrefu sana eti

Hapa na ndio wasi wasi unanijia kwa Avatar 2
James Cameroon hajwahi kukosea na hatokaa akoseee...yule mtu ni genius...m
 
Mimi saivi nitakuwa naangalia movie za Toff Guy production ya Miramax kwa sababu wanajutahidi sana kutoa movie kali kama Wrath of Man na The Gentlemen
 
Mimi saivi nitakuwa naangalia movie za Toff Guy production ya Miramax kwa sababu wanajutahidi sana kutoa movie kali kama Wrath of Man na The Gentlemen

Guy Ritchie kadirect hizo zote ulizozitaja...jamaa anajua, halafu ukiangalia Movies zake ziko tofaut unajua kuwa huyu ni yeye tu, Kama walivyo kina Nolan

Sema narudia tena kusema hii resident evil ya mwaka huu ni kashfa kwa Game pamoja na Resident evil Movies zote zilizotangulia na zitakazokuja
 
Ukiona role actors hawa kwenye movie za siku hizi,usipoteze muda wako kuiangalia[emoji706]
1. Bruce wills
2. Nicolas Cage
3. Steven Seagal

Hawa ni kama wamechanganyikiwa na uzee...Karibia kila wiki wanatoa cheap budget movies.

Kuna movie ya mwaka huu ya Nicolas Cage inaitwa “Pig” aisee ni takataka Cage kawa zaidi ya mkojani
 
Back
Top Bottom