Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tatizo la Nicolas Cage hachagui movie, wakimpa hela nzuri tu anakubali script yoyote.huyu nicolas Cage siku hizi anaigiza kama bongo movies ovyo sana
Si selective kama Denzel Washington.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Nicolas Cage hachagui movie, wakimpa hela nzuri tu anakubali script yoyote.huyu nicolas Cage siku hizi anaigiza kama bongo movies ovyo sana
Halafu hapo ushapoteza muda sana, ushavuka nusu ya movie, unaona bora umalizie tu na kuishia kupoteza muda zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Movie zingine inafika mahali unajiuliza, what am I really watching?
Una conclude kwa kujiambia I think I have alot of time to waste.Halafu hapo ushapoteza muda sana, ushavuka nusu ya movie, unaona bora umalizie tu na kuishia kupoteza muda zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo filamu pekee niliyoisubiri 2021..Nilifikiri peke yangu ndiye nimeona "The Matrix Resurrected" imeboa.
I was like "Where Fishburne at?"
Ila big budget movie makaratee mengi kama kawa.
What do you all think about "No Time To Die"?
Tatizo la Nicolas Cage hachagui movie, wakimpa hela nzuri tu anakubali script yoyote.
Si selective kama Denzel Washington.
Mimi mpaka Leo huwa naangalia movies za Wrong Turn 1 na 2 maana huwa naona zina kiwango bora ukilinganisha na recent moviesHili suala linazid kukua kila siku movies mbaya zinaongezeka kwa kasi kubwa sana, Movie nyingi siku hizi zina agenda za ajabu hadi unashangaa hivi waliwaza nini kutengeneza huu upuuzi, hapo chini nimekuwekea list ya baadhi ya movies ambazo nimeziona ziko hovyo mwaka huu 2021.. unaweza kuongezea na yako.
Hollywood imeishiwa ideas mpya inaamua kutengeneza remakes ambazo zinaharibu heshima kwa original movies, mtazamo wangu mpaka sasa muhimili wa Hollywood unayumba na uko unatetewa na watu wachache ila nao wakitikisika tu.... basi hamna kitakachosalia na tutabakiwa na movies ambazo sio decent bali ni matatizo tu. Hii inaenda mpaka kwenye Tv- series kwanza huko ndio balaa
List ya Movies ambazo ni disappointing ndani ya huu mwaka 2021
1. Snake Eyes
2. Venom 2
3. Eternals
4. The Matrix 4
5. Resident evil 2021
6. Coming to America 2
7. Suicide Squad 2021
8. Thunder Force
9. Home sweet Home Alone
10. Army of the Dead
11. .......etc
Na kibaya zaidi hapo hizo nyingi ni muendelezo wa Movie za mwanzo ambazo zilikuwa classic
Sasa si bora cage kuliko john travolta..hahahah...low budget yake ni ile ya bongo muvi kabisa...Kabisaa cage sio kama yule wa NEXT kapoteana sana... yeye na Mr Seagal
Sasa si bora cage kuliko john travolta..hahahah...low budget yake ni ile ya bongo muvi kabisa...
Yan hadi bruce wilis sikuhiz anacheza low budget..ni hatar...game ngumu asee
Kuna low budget moja hyo..wakorea walimchukua steven seagal..aisee..nilisema sasa baaas kwishney....
Kabisaa cage sio kama yule wa NEXT kapoteana sana... yeye na Mr Seagal
huyu nicolas Cage siku hizi anaigiza kama bongo movies ovyo sana
Sijawahi kukielewaga hiki kibabu Steven seagal 😃Na bado.
2022 Steven Seagal anatoa kitu kipya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]