Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

Soko lao kubwa lipo huko kwenye hizo takataka.Ni sawa na hip hop ya sasa imekuwa laini huwezi linganisha the game na tekash69 ila kwa sasa watu wanamuona tekash kama hip hop star.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Tangu nione AngelineJolie anapiga bunduki na risasi inapinda kumfata adui nkaona washaanza ushenzi wa Wahindi.....Nipo likizo kuangalia movie now.
Kwahiyo hutaki risasi mzungusho? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fast and furious nimegoma kuiangalia, red notice sio mbaya sana ila masikhara mengi kwenye mambo serious.

Escape room 2 wamenibamba. Weekend hii naangalia Don't breathe 2, sidhani kama watanidissappoint!
 
The matrix ilinipotezea tu hela yangu, bora ningetulia zangu nyumbani nikacheki katuni.

Matrix Sequel imeenda hivi

The Matrix - What a perfect movie

The Matrix Reloaded - a good movie

The Matrix Revolutions - It’s okey movie i guess

The Matrix Resurrections - Pure garbage
 
Watu hawataki mambo serious sana kama zamani. Nyakati zimebadilika. We angalia imeuza kiasi gani? Imeleta faida? Kama jibu ni ndio basi wamefanikiwa......

siku hiI Hata magari ya zamani ni imara sana kuliko sasa. Watu wanataka biashara chap liishe, liyeyushwe ununue lingine.
 
Venom 2 na Fast and furious 9 Nimeshindwa kuzimaliza nmeishia njian yaan hazivutii so sad[emoji19]

Venom nimeangalia siku tatu na sio kawaida yang kabisa nlikuwa na pause nasahau narudi kesho
 
Watu hawataki mambo serious sana kama zamani. Nyakati zimebadilika. We angalia imeuza kiasi gani? Imeleta faida? Kama jibu ni ndio basi wamefanikiwa......

siku hiI Hata magari ya zamani ni imara sana kuliko sasa. Watu wanataka biashara chap liishe, liyeyushwe ununue lingine.

Nimekuelewa mkuu, ila ubaya sasa na kuuza hawauzi sana watu wanajua wanachotaka
 
Kutokuuza sasa ndo tatizo hapo. Unajua movie kama matrix unapoamua kuiendeleza inabidi usiwe na haraka.

Kabisa yaani Movie hii mwaka huu ilibid iwe kama ya 2030 maana ile ya kwanza ilitoka kabla ya mda wake kwa miaka ile ilikuwa very advanced
 
Back
Top Bottom