Bhuahahahahaha kiongozi kinjeketile ngwale au kinjeketile yupi uyo? ?Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Wengine wakiona hilo "dola" nao husema ooh malikia nzinga mbandi kweli umependelewa !Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Hakuna asie penda penzi lakini tamu ya kubembelezwa na mpenzi yako hua khabari nyengine Mkuu..Kwa hiyo nyie huwa hamtakagi penzi co???
Kweli aisee.Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Kwanini na nyie msiwemnabembelezea penziHakuna asie penda penzi lakini tamu ya kubembelezwa na mpenzi yako hua khabari nyengine Mkuu..
Sasa kumbe nn, cz jamaaa alikua na convincing power kubwa sana... So mtoto akikuita hivo unajiona km siiimbaKinjekitile yule wa vita ya Majimaji au?
Ngwale huyoBhuahahahahaha kiongozi kinjeketile ngwale au kinjeketile yupi uyo? ?
Wape tuu mkuu. Kwani imeandikwa nijaribuni kwa matoleo muoneSiku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Wajuzi wa mambo kubembeleza MUST..Kwanini na nyie msiwemnabembelezea penzi