Amadoli
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,544
- 2,265
Bhuahahahahaha kiongozi kinjeketile ngwale au kinjeketile yupi uyo? ?Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..