Siku hizi mshahara ukitoka

Siku hizi mshahara ukitoka

Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Bhuahahahahaha kiongozi kinjeketile ngwale au kinjeketile yupi uyo? ?
 
Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Wengine wakiona hilo "dola" nao husema ooh malikia nzinga mbandi kweli umependelewa !
 
Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Kweli aisee.
 
Kinjekitile yule wa vita ya Majimaji au?
Sasa kumbe nn, cz jamaaa alikua na convincing power kubwa sana... So mtoto akikuita hivo unajiona km siiimba
 
Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
Wape tuu mkuu. Kwani imeandikwa nijaribuni kwa matoleo muone
 
sasa iyo kinjekitile ikiitwa kwa pozi awaimalizii, utasikia... kinje baby i love you!
 
Back
Top Bottom